Askofu Gwajima kushusha radi nzito kesho Kanisani kwake

Mama hana washauri wa bovu angeendelea kupiga kimya sometimes kukaa kimya ni Ushindi natama niwe Mshauri wa Mother kuliko aliokumbatia hawa
Ukiona hivyo pigia mstari kuwa yeye ndiye anaefadhili magenge yote ya utekaji na uuaji wa raia
Ku
 
Asije akatolewa macho baba wa watu.......huu utawala ni shida
 
Nchi hii usicheze na vitu viwili: Dini na mpira(Yanga na Simba).
 
Inaonekana wewe ni mrahisi sana kuliwa Yas endapo ukitishiwa
 
Gwaji ni kisiki cha mpingu. Wakitaka parapanda ilie basi wamguse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…