Lakini anakemea uovu unaofanywa na Chura kiziwi, SamiaMjinga anaacha kuhubiri Kristo anahubiri radi au watu au CCM
.tapeli mkubwa
Kanisani ni sehemu ya kumhubiri Kristo sio watu wawe polisi au CCM
Pili Biblia inatamka wazi uovu usitajwe kwenu Kanisani ni sehemu ya kuongelea wema wa Mungu na Yesu sio sehemu ya kuongelea uovu wa CCM, polisi ,au shetani ndio maana Yesu aliagiza kuhubiri habari njema za Yesu aokoaye na kuponya sio za CCM au Chadema au za No reform no election au za katiba mpya au habari za serikali
Hayo sio mahubiri ya kanisani
Muumini yeyote wa kanisa la Gwajima akihubiri hayo hama kanisa katafute kanisa lingine lolote .Mwachieni mijengo yake hata kama mlichangia ujenzi
Ondokeni kimya kimya wala msiage Mtu akiwauluza kwa nini mnahama mwambieni nilikuja hapa kwa hiari naondoka kwa hiari
Katiba ya nchi inanipa uhuru wa kuabudu popote
Mahubiri ya Yesu ni ya kuhubiri habari njena za Yesu aokoayeLakini anakemea uovu unaofanywa na Chura kiziwi, Samia
Hapo umebinuka unakuna pummbu tuIli kuondoa utawala wa kidhalim inapaswa watu kuteseka na hata wengine kufa
Lissu anapekuliwa kila siku hukoKwann asiulizwe Hafidhi anayechezea mbususu yake kwa vidole?
Ndivyo ulivyoaminishwa na mwenyekiti wako sio eeh.............subiri uone yajayo.........lile jumba jeupe atalikimbia mwenyewe......na hiyo sio mimi nasema kuna muislam mmoja aliongea miaka kumi na kadhaa nyumaLabda nikwambie kwa kifupi tu, "Gwajima is just a bug. It can be neutralized by just a finger"!
Mimi nitakufa ndio maana nataka kiongozi anayejali na kuthamini uhai wa binadamu mwenzake na si kukejeli vifo vya watu na kuchukia watu wanaosema ukweliVipi kuhusu wewe? Utaishi milele?
Ahahahahaha! HUWEZI kuwa na akili timamu ukaendekeza ramli. Inatia huruma sana kwa kijana kama wewe! Ahahahahaha!!! Ramli oyeeeeee!!!Ndivyo ulivyoaminishwa na mwenyekiti wako sio eeh.............subiri uone yajayo.........lile jumba jeupe atalikimbia mwenyewe......na hiyo sio mimi nasema kuna muislam mmoja aliongea miaka kumi na kadhaa nyuma
Kama unajua na wewe utakufa, kiherehere cha kuwaambia wenzako, utakufa, utakufa cha nini? Hakuna mtu anamwombea mwezake kufa, lakini mtu mwenyewe anakitafuta kifo unamzuia?Mimi nitakufa ndio maana nataka kiongozi anayejali na kuthamini uhai wa binadamu mwenzake na si kukejeli vifo vya watu na kuchukia watu wanaosema ukweli
Mahubiri ya Yesu ni ya kuhubiri habari njena za Yesu aokoaye
Hayo Mahubiri ya Gwajima ya kukemea Polisi,serikali nk yamewaleta watu wangapi kwa Kristo kuokoka?
Vatcan haina jeshi wewe tutusa.Kama unajua na wewe utakufa, kiherehere cha kuwaambia wenzako, utakufa, utakufa cha nini? Hakuna mtu anamwombea mwezake kufa, lakini mtu mwenyewe anakitafuta kifo unamzuia?
Nchi zote duniani (hata Vatican, ahahahahaha!!) zina majeshi na yana silaha za moto. Unafikiri ni kwa ajili ya nini? Kuua wanyama?
Wabishie Hawa sio mimi wewe mbumbumbu wa kutojishughulisha kutafiti taarifa!Vatcan haina jeshi wewe tutusa.
Wewe mbwa usiniletee habari za google wakati mimi nimefika Vaticano, Vaticano hawana jeshi, Swiss guard ni walinzi wa Papa hawana kifaru wala Jet fighter, stupid ccm zezetaz ubwabwa eaters.Wabishie Hawa sio mimi wewe mbumbumbu wa kutojishughulisha kutafiti taarifa!
The "vatican soldiers" you're likely referring to are the Pontifical Swiss Guard, a military unit that has guarded the Pope and the Vatican since the 16th century. They are known as "the world's smallest army" and are a unique blend of tradition and modern protection."
Nasubiri ubishe wewe nyang'au!
Ahahahahaha! Sawa. Pambana sasa na Google sio Mimi! Sawa mbumbumbu? Ahahahahaha!!Wewe mbwa usiniletee habari za google wakati mimi nimefika Vaticano, Vaticano hawana jeshi, Swiss guard ni walinzi wa Papa hawana kifaru wala Jet fighter, stupid ccm zezetaz ubwabwa eaters.
Hii siku ya leo ni njito sana WHITEHAUZI!Huku wingu zito likiendelea kutanda katika anga la Tanganyika kufuatia mauaji, kuteswa kwa raia, uminywaji wa haki na ukandamizaji wa demokrasia.
Vyombo vya habari vimeanza kuweka kambi katika Kanisa la ufunuo na Uzima Ministries ambapo Bishop Gwajima atakuwa ana test mitambo. Unaambiwa hiyo kesho ibadani waandishi wa habari wanataka pakuche kumsikiliza akitema cheche kama alivyoahidi kwenye press yake iliopita🤣🤣🤣
Je, Gwajimanization itarusha makombora yatakayopenya mifumo ya CCM na kuangukia moja kwa moja ikulu? 😆
Matola salamaleko, umeadimika 😁Wewe mbwa usiniletee habari za google wakati mimi nimefika Vaticano, Vaticano hawana jeshi, Swiss guard ni walinzi wa Papa hawana kifaru wala Jet fighter, stupid ccm zezetaz ubwabwa eaters.
UVCCM nendeni mkamvamie Gwajima!Hivi Gwajima huwa anajiamini kitu gani?