Askofu Gwajima kushusha radi nzito kesho Kanisani kwake

Niko siti ya mbele kabisa narekodi mpk vicheko vya waimba kwaya. Namsuburia rais ajaye avurumshe makombora kwenda kwa rais wa mchongo aliyekalia kiti cha marehemu na hana uwezo wa kugombea tena.
 
Niko siti ya mbele kabisa narekodi mpk vicheko vya waimba kwaya. Namsuburia rais ajaye avurumshe makombora kwenda kwa rais wa mchongo aliyekalia kiti cha marehemu na hana uwezo wa kugombea tena.
Mimi nipo bench la katikati hapa
 
Acheni kumjaza huyu jamaa upepo wazee.Watu wanalinda madaraka yao wako tayari kwa lolote atapotea.
 
Acheni kumjaza huyu jamaa upepo wazee.Watu wanalinda madaraka yao wako tayari kwa lolote atapotea.
Mbinu wanazotumia hatufurahishwi nazo, mambo ya kuua watu ili ubaki madarakani ni laana kwa nchi yetu
 
Mahubiri ya Yesu ni ya kuhubiri habari njena za Yesu aokoaye

Hayo Mahubiri ya Gwajima ya kukemea Polisi,serikali nk yamewaleta watu wangapi kwa Kristo kuokoka?
Gwajima anahubiri upendo na haki, pia anaonya dhuruma wanayofanyiwa wengine ndio maana watawala wanachukia hayo mafundisho ambayo hata Bwana Yesu Kristo alituasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…