johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Gwajima ni askofu kabla hajawa mbunge.Kamati kuu imemuita.Asisahau trarehe.
Aende na treni yake.Gwajima ni askofu kabla hajawa mbunge.
Usisahau hilo bwashee!
Wanakwenda kiroho zaidi!Halima na bulaya wanataka wakazungumze na mbowe nini? Ukute ndio wametumwa waka bargain
Au nasema uwongo ndugu zangu
Msalimieni bwana yule anayeitwa GaidiKwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel.
Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga na kufanya maombi na Mahabusu na Wafungwa.
Wapendwa katika Bwana Halima James Mdee na Esther Bulaya wanatajwa kuwemo katika msafara huo.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Wanakwenda kiroho zaidi!
Toa kwanza boriti!Msalimieni bwana yule anayeitwa Gaidi
Kumbe siyo gaidi, bali ANAITWA gaidi?Msalimieni bwana yule anayeitwa Gaidi
Ataendelea kuitwa mtuhumiwa wa ugaidi mpaka mahakama itakapothibitisha kuwa ni gaidi au la.Kumbe siyo gaidi, bali ANAITWA gaidi?
Kwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel.
Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga na kufanya maombi na Mahabusu na Wafungwa.
Wapendwa katika Bwana Halima James Mdee na Esther Bulaya wanatajwa kuwemo katika msafara huo.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hao wanashika ubani na mishumaa ya askofu.Halima na bulaya wanataka wakazungumze na mbowe nini? Ukute ndio wametumwa waka bargain
Au nasema uwongo ndugu zangu
Hao wanashika ubani na mishumaa ya askofu.
Au wameamua kwenda kutubu usaliti walooufanya Kwa m. Kiti na chama.Wanakwenda kiroho zaidi!
Hao wanashika ubani na mishumaa ya askofu.
Hivi Gwajima ndo aliyebariki mambo ya Mdee na Bulaya?Halima na bulaya wanataka wakazungumze na mbowe nini? Ukute ndio wametumwa waka bargain
Au nasema uwongo ndugu zangu
Mambo gani?Hivi Gwajima ndo aliyebariki mambo ya Mdee na Bulaya?