Tetesi: Askofu Gwajima kutembelea gereza la Ukonga na kuwaombea Wafungwa na Mahabusu. Halima Mdee na Esther Bulaya watakuwepo pia!

Kwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel.

Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga na kufanya maombi na Mahabusu na Wafungwa.

Wapendwa katika Bwana Halima James Mdee na Esther Bulaya wanatajwa kuwemo katika msafara huo.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Na unajisi wao wasimsigelee kabisa mpakwa mafuta wa Bwana Mheshimiwa MBOWE
 
Kamati kuu imemuita.Asisahau trarehe.
Enzi za Baba wa Taifa Mwl Nyerere ukisikia anakuita hakika ilikuwa ni balaa ...na kilichokuwa kinaogopesha ni uwezo wake mkubwa wa kuyatazama mambo na kuyashughulikia.
Wewe unaongelea kamati kuu ya hawa watu walio na uwezo mdogo kabisa usio na kitisho chochote?....
Tafakari...!...CCM haina watu imejaa usanii wa kitoto
 
Watajuana wenyewe Ila awe makini na unywaji wa maji watakayompa.
 
Kwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel.

Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga na kufanya maombi na Mahabusu na Wafungwa.

Wapendwa katika Bwana Halima James Mdee na Esther Bulaya wanatajwa kuwemo katika msafara huo.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Bwashee naona we uko karibu sana huyo Gwajiboy,hebu muulize ni vijana wangapi ameshawapeleka USA kama alivyoahidi?
 
Hawa akina mdee wapo?. Wameminywa kama hawapo kabisa
 
Anakwenda kuomba ili milango ya gereza ifunguke kama ile ya Paulo na Sila
Jamani huyu jamaa ni tapeli , siku ya kiyama huyu atakuwa kuni 🤣
 
Back
Top Bottom