Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Mambo gani?
Ndoa jinsia moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo gani?
Wewe umejuaje?Ndoa jinsia moja.
Na unajisi wao wasimsigelee kabisa mpakwa mafuta wa Bwana Mheshimiwa MBOWEKwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel.
Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga na kufanya maombi na Mahabusu na Wafungwa.
Wapendwa katika Bwana Halima James Mdee na Esther Bulaya wanatajwa kuwemo katika msafara huo.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Gaidi alikuwa Magufuli na genge lake la wahuniMsalimieni bwana yule anayeitwa Gaidi
Pia alikuwa RASHIDGwajima ni askofu kabla hajawa mbunge.
Usisahau hilo bwashee!
Wewe unamjua Mume au boy friend wa Mzee Halima Mdee !.Wewe umejuaje?
Yupo Kunduchi anaitwa Miraji Dinongo!Wewe unamjua Mume au boy friend wa Mzee Halima Mdee !.
Yupo Kunduchi anaitwa Miraji Dinongo!
Enzi za Baba wa Taifa Mwl Nyerere ukisikia anakuita hakika ilikuwa ni balaa ...na kilichokuwa kinaogopesha ni uwezo wake mkubwa wa kuyatazama mambo na kuyashughulikia.Kamati kuu imemuita.Asisahau trarehe.
Una maana ndoa yao?Hivi Gwajima ndo aliyebariki mambo ya Mdee na Bulaya?
Ndio
Watajuana wenyewe Ila awe makini na unywaji wa maji watakayompa.Enzi za Baba wa Taifa Mwl Nyerere ukisikia anakuita hakika ilikuwa ni balaa ...na kilichokuwa kinaogopesha ni uwezo wake mkubwa wa kuyatazama mambo na kuyashughulikia.
Wewe unaongelea kamati kuu ya hawa watu walio na uwezo mdogo kabisa usio na kitisho chochote?....
Tafakari...!...CCM haina watu imejaa usanii wa kitoto
Bwashee naona we uko karibu sana huyo Gwajiboy,hebu muulize ni vijana wangapi ameshawapeleka USA kama alivyoahidi?Kwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel.
Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga na kufanya maombi na Mahabusu na Wafungwa.
Wapendwa katika Bwana Halima James Mdee na Esther Bulaya wanatajwa kuwemo katika msafara huo.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!