Tetesi: Askofu Gwajima kutembelea gereza la Ukonga na kuwaombea Wafungwa na Mahabusu. Halima Mdee na Esther Bulaya watakuwepo pia!

Tetesi: Askofu Gwajima kutembelea gereza la Ukonga na kuwaombea Wafungwa na Mahabusu. Halima Mdee na Esther Bulaya watakuwepo pia!

Anakwenda kuomba ili milango ya gereza ifunguke kama ile ya Paulo na Sila
Jamani huyu jamaa ni tapeli , siku ya kiyama huyu atakuwa kuni [emoji1787]
Hana tofauti na huyu hapa aliyewatia kiberiti waumini wake kisha akatokomea kusikojulikana hadi leo hii
JamiiForums791530185.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel.

Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga na kufanya maombi na Mahabusu na Wafungwa.

Wapendwa katika Bwana Halima James Mdee na Esther Bulaya wanatajwa kuwemo katika msafara huo.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Update bwashe? Weka picha za Ukonga pia.
 
Back
Top Bottom