McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu
Huyu hapa Gwajima anaelezea bila kificho kuwa kwenye ule mkesha wa mwaka mpya wakati wanakagua baadhi ya waumini walikutwa na bastola
Hao "waumini" walipoulizwa kwanini wana bastola walisema ni kwa ajili ya kulinda
"Siku ya mkesha wa mwaka mpya wakati wanakagua kagua wakakuta kuna wengine wana bastola wanaingia kanisani. Walipowauliza bastola za nini sasa, nakwenda kujilinda mwenyewe. Tuliwasaidia kuuwaambia kwamba kuna nguvu za Mungu mle ndani. Weka bastola kwenye gari ingia kanisani"