PostGE2025 Askofu Gwajima: Kwenye mkesha wa mwaka mpya kuna watu walikuwa na bastola wanataka kuingia kanisani

PostGE2025 Askofu Gwajima: Kwenye mkesha wa mwaka mpya kuna watu walikuwa na bastola wanataka kuingia kanisani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu nae mpumbavu kila siku anatafuta media kavareji
 
Ni hao wajinga wenu huwa wanakuja na bastola hadi baa za uswekeni.
Kwahiyo na wewe mbuzi unaamini kabisa walikubali kusachiwa halafu wakakutwa na bastola naona unavuka unyumbu sasa
 
Siku ya Mwaka Mpya, watu walikamatwa wakiingia Kanisa la Ufufuo na Uzima Ubungo wakiwa na bastola. Kanisa hilo ni mahali anapohudumu Askofu Gwajima. Tukio hili linatokea wakati ambapo kumekuwepo matukio na taarifa za vitisho dhidi ya watu wanaotoa kauli zinazokosoa au kupinga mamlaka, hali inayoacha maswali mengi kuhusu usalama katika nyakati hizi.

​
​
​

​

​
 
Back
Top Bottom