Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Gwajima anatumiaga nyanja nyingi (premise) kujenga hoja. Hapo ametimia analogy ya aliyepata kuwa waziri mkuu mashuhuri wa Uingereza. Watu wa kawaida sio rahisi kuelewa. Hongera sana Gwajima.
 
Wewe ndo haramu uliyezaliwa nje ya ndoa uko kiharamu haramu toka uko tumbuni mwa mama yako ndo maana hujielewi
We ni mwovu ni mwovu tu,, kujisafisha ni hadi utubu.
Usipotubu utaendelea kuwa mchafu.
[emoji3][emoji3][emoji3] ona unvyoropoka.
 
ukijua kuchekesha chekesha watu tu bongo unaitwa smart
 
"Tufani imekoma katika nchi, Sasa ni majira mapya". Kuna watu bado wapo majira ya zamani, kutwa kucha kulalamika tu.Maisha yapo kwenye majira na nyakati, ukishindwa kung'amua inakula kwako. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM. Mungu mbariki John Pombe Magufuli.
 
Kipimo cha usmart wake umetokana na uwezo mdogo wa akili yako
 
ukishawahi kuwa muhubiri by nature UNAKUWA MUONGEAJI MZURI MAANA UHUBIRI NI PAMOJA NA UONGEE KWA VITUO UWEKE UCHESHI KIDOGO BILA KURUDIA RUDIA ULIYOYAONGEA ILI USIWACHOSHE SANA WAUMINI WAKO
 
Basi, huwezi kushindana na mtu mwenye pesa, kibali na madaraka...ila swala la kuwa Mungu ni issue nyingine ambayo kwa Gwajima haipo
Zungumzia usmart wake kwa kina sio smart tu ,maana kila binadam smart katika nyanja inayomhusu mfano Gwargima amekua mtu wa mahubiri so uwezo wa wakusimama sehem yoyote na kuongoea ni rahisi but wapo watu smart ila uwezo wakuongea kwa kandamnasi kwao ni shida so uwezo Gwajima ni hupi?
Kunukuhuu maneno ya watu walioumiza kichwa na kuyataja kwa manzingira husika na sehem husika na kwa kipindi husika,tena yenye ukakasi ( mbwa wanaobweka ) ndo uwezo unaosema au ,
Mkuu kila Jambo na wakati wake na kila neno Lina wakati wake hata Kama wanukuhu kwa mfano huu
Leo ukutanapo na dactari atakupa dawa meza Mara nne kwa ugonjwa husika na ukikutanae nae tena atakwambia meza dawa hiyo hiyo kwa Mara moja,japo yatibu magonjwa yote kwa Mara moja ,
Gwajima kapotoka ,asema Mbatizaji wa 4 7 japo alisha futwa siku nyingi
 
Kama hiki ndicho alichokiongea Ngwajima mbele ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania then wewe ukamuona ni smart basi unabidi usikae mbali Sana na pale Hospitali ya Vichaa Mirembe ili usiwape kazi ndugu zako.
 
Ninini alichoongea mpaka kusifiwa hivi??? Hik nchi kunamalofa wengi sana...ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kusifia ushindi uliopatikana kwanjia zisizo halali na kwaubabe na vitisho kwamba msipomchagua huyu sitowaletea maji nk. Ama kueleza wazi kjwa umeshindwa kufanya kaxi na washindani/wapinzani wako!! Kiongozi anaongea kwa chuki kubwa kuonesha hawezi shirikiana na wenye itikadi tofauti is a shame
 
Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu.
Mbunge mjanja hunaswa kwenye bunge bovu.
Sijasema bunge letu bovu......
 

Wewe si ndio Kiongozi wa ile kwaya kanisani kwake?

Kwanini usimkubali yeye ni kila alichonacho. Hilo ndilo Boga ulilopenda utapenda na ua lake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…