Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Nasikia katuita Mbwa, sasa tutabweka hadi chumbani kwake, ndio ataelewa
Mkuu hao Mbwa ni akina nani kwani hata Mimi pia 'nafuga' Mbwa wangu ambao nao ni Wakorofi, Wabishi na huwa wanapenda Kunigomea vile vile.
 
Sanaa una akilisanaa wewe pongezi kwa wazazi waliokusomesha mkuu nakuweka maombini kabisa Niko mkesha use mb mtarajiwa
 
YAAANI MNABWEKA HADII HUMUU AISEE GWAJYMAN ANATISHA SANA HAHAHAAAAA HAPO HAJARUSHA NYAMA SIJUI MTABWEKAJE
 
Nakubaliana na wewe kabisa ,Yan Gwajima Ni Zaidi ya genius ,Ana Akili sana
 
Watu kama Gwajima ndio tunawahitaji kwa ajili ya Taifa la Tanzania ili kuwepo maendeleo makubwa
 
Kuna jambo gani la msingi kalizungumza hapo Gwajima? Kuna kitu gani cha kipekee amekosema hapo? Sema ni smart kwa wajinga wenu Lumumba huko sio watanzania wengine huku tulio nje ya mifumo yenu ya wizi huko
Nadhani ni ile nukuu ya churchill kwamba nyie endeleeni kubweka kwa raha zenu 🤔🤣🤣🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Haramu itabaki kuwa haramu tu mbinguni na duniani.

Ila mkuu una moyo sana. Unakimbilia kila mahali akisifiwa JPM. Tuambie tu hapa Ni wivu wa mapenzi au Nini. Mana Siasa hizi za duniani huwa haziwi Hivi . Hakuna mtakatifu katika Siasa na wala hatapatikana. Wote hujitahidi. At least JPM tunapata umeme. Maji. Usafiri nk.

Ok. Nimwangalie mpenzi wako LIssu Hivi kwa sifa ipi hasa ambayo mtz mwenye akili timamu angempa kura. Urais sio JF. So jipende fanya mambo yako. Mana unateseka sana rundherum.
 
Hamna cha usmart wowote, zaidi ya praise praise praise and worship.
 
Back
Top Bottom