Nchi yetu inahitaji kiongozi mwenye akili na uelewa mpana juu ya kupambanua mambo haswa maswala ya akili,Dunia ya saizi ni akili basi; nchi zote zinazopigana na kutishana huko yote hii n kwasabb ya uchumi tu bhas hakuna kingine mwana JF sasa sku hizi mamb yanabadilika watu mataifa kwa mataifa wanapigana kwa akili tu basi hakuna haja ya kushikiana silaha za kivita, nafkir utakuwa unanielewa kidg, gwajima japokuwa ni mwanzo sana kusema anafaa kuwa Raisi lakn mpk sasa ameonyesha nia yake ya kuitumia akili zaid kwa ajiri ya watanzania na kama akiendelea hvo basi anaweza akawa mrithi wa JPM