othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Mkuu hiyo avatar yako ndio lile liwaya linalo link mifumo ya nida na inec kwenda ccm , dah ni hatari sn.Tupe link. Tumsikilize dude linavyoamshwa.
Mkuu hiyo avatar yako ndio lile liwaya linalo link mifumo ya nida na inec kwenda ccm , dah ni hatari sn.Tupe link. Tumsikilize dude linavyoamshwa.
Ndo DUDE lenyeweMkuu hiyo avatar yako ndio lile liwaya linalo link mifumo ya nida na inec kwenda ccm , dah ni hatari sn.
ushauri hawa hawasikilizi, utoe what is to be done...action
Wakuu,
Kuanzia saa 3 na dakika 20 Gwajima ataongea na taifa.
Stay tuned
View: https://youtu.be/dcipi2DSzw4
View attachment 3453047
hawa wanataka kuungwa mkono n kundi kubwa la upinzani kusaidia kuangusha utawala huu wa mama, na kuubadilisha na mgombea mwingine wa ccm --- hapa wananchi tutakua tumepigwa vilevile kwa sababu kinachotakiwa kutolewa ili tupate mabadiliko ya kweli ni ccmAkitoa siri ya maan mniamshe najipumzisha kidogo
Wakuu,
Kuanzia saa 3 na dakika 20 Gwajima ataongea na taifa.
Stay tuned
View: https://youtu.be/dcipi2DSzw4
View attachment 3453047
Duh!..Gwajima na polepole wapo handaki moja 😁
Huyo kiazi ana id nyingine ni chadema .Umeshalewa visungura unaelewa nini kinachoendelea?