Askofu Gwajima Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

Askofu Gwajima Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

Hana lolote.Amerudia alichosema mpuuzi mwenzake Polepole na mwisho akalalama kuhusu makanisa yake kufungiwa . Lile "bomu" lake limekuwa puto.Madebe matupu yanaongezeka na manyumbu wanadhani ndio suluhisho.
Mungu hafanyi kazi za kinafiki ,watumie njia za physical kupambana
 
Anarushanmate tu kiswahili wenyewe kajifunzia kawe
Namuelewa na nakubaliana naye sana kwa anachokisema. Ila aliahidi kuwa atasema kitu nchi itatikisika, sasa sijaona.
Ila, he deserves to be acknowledged for his contribution to advocate for JUSTICE
 
Back
Top Bottom