Askofu Gwajima Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

namsubiri atapokiri ccm huwa wanaiba uchaguzi ,, sio kusema wataiba huu wa 2025 😁 --- watanzania mimi narudia kusema hawa watu tuendelee kuwatathmini kwa makini,
 
Akitoa siri ya maan mniamshe najipumzisha kidogo
hawa wanataka kuungwa mkono n kundi kubwa la upinzani kusaidia kuangusha utawala huu wa mama, na kuubadilisha na mgombea mwingine wa ccm --- hapa wananchi tutakua tumepigwa vilevile kwa sababu kinachotakiwa kutolewa ili tupate mabadiliko ya kweli ni ccm
 
Wakuu,

Kuanzia saa 3 na dakika 20 Gwajima ataongea na taifa.

Stay tuned

View: https://youtu.be/dcipi2DSzw4View attachment 3453047
Hana lolote bali kutapatapa. Alidhani atawatumia asijue watamtumia na kumtema kama ilivyotokea. Akitoe na kujinyamazia hana bado tena. Wamefunga biashara yake ya kitapeli ya kuuza neno la Mungu na uroho alioficha nyuma ya roho mtakatifu wakati ni roho mtakakitu. Senzi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…