Askofu Gwajima Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

Yani wanashambulia kwa zamu, na Gwajima ni mzuri sana akitokea pembeni kama Pacome.
Alafu hawa ni sukuma gang imeamua kushambulia vilivyoo.

Yaani laiti mwamba angekuwa uraiani mweshima raisi wa nchi na mkombozi pekee wa nchi bwana tundu antipus Lisuu hiiii hiii( in magufuli voice).

Hii front 3 kushoto gwajiboy winga teleza, kulia polepole, winga machachari alafu kati angekuwa anamalizia, mtaalamu mwenyewe wa hizi kazi atari dah!.. aiseee.
Hapo linapigwa boli dude linaanguswa mapemaaaa.

Huu mchezo hauitaji hasiraaaa
 
Huyu kawa comedian kama mwenzie Slowslow 😂😂

Leo atakuja na ngonjera gani?
 
Aise sijui huu mwaka utaishaje kwenye hii nchi,
 
Huyu jamaa hayupo serious
mimi sina ushahidi wa wazi ila nachokiona --- kuna genge linataka tulisaidie kumtoa SSH wakae wao, ccm hiki chama hakina nia ya mabadiliko kwa watanzania wote, muda utajieleza wenyewe.

mimi nasema hivi kama utawala mbovu wa mama umeweza kwa kiasi kufungua watu na kutuunganisha hivi, akipata mitano mingine ,ccm ni dhahiri tunaenda kuitoa --- tunachokosa ni nguvu ya wananchi na tutaipata kwa blanda za serikali ya mama


my strategy is very simple as this - -- hawa kina polepole na hgwajima geresha tu hili
 
Chadema inarahisiwa kazi heche angepita na huu upepo. Mbona kazi simple kabisaaa hiii ushindi asubuhiiiiii.... ( sauti ya bwege)
 
sijaona bomu aliloahidi......
unafikiri kuna mabomu ya maana ? -- mabomu ya maana yataiharibu ccm na wao wanakwambia ccm hawahami wabadirishiwe mgombea waende kwenye uchaguzi na chama chao kitashinda ----- hapa tunazugwa mchana kweupe wakuu
 
Kama uncle Magu kipenzi changu Alikufa nikapoa
Hakuna Mwana CCM atakayekufa nikaumia Nitachinja mbuzi siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…