ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mungu hafanyi kazi za kinafiki ,watumie njia za physical kupambanaHana lolote.Amerudia alichosema mpuuzi mwenzake Polepole na mwisho akalalama kuhusu makanisa yake kufungiwa . Lile "bomu" lake limekuwa puto.Madebe matupu yanaongezeka na manyumbu wanadhani ndio suluhisho.
HakikaKipindi hiki inabidi kuwa na unlimited bundle ili usipitwe na mambo.
Tulia wewe!Mungu hafanyi kazi za kinafiki ,watumie njia za physical kupambana
Tamko gani katoa?LIVE: ASKOFU GWAJIMA ANATOA TAMKO ZITO MUDA HUU
View: https://www.youtube.com/live/Szdgut4tzAk?si=j_Q18erEK8aG5GrK
Soon tunapandisha bundles maana mnasikiliza yale yasiyo na maslahi kwa Taifa πππKipindi hiki inabidi kuwa na unlimited bundle ili usipitwe na mambo.
Hii colabo nimeipenda, muunganiko na mpangilio uko vizuri sana.LIVE: ASKOFU GWAJIMA ANATOA TAMKO ZITO MUDA HUU
View: https://www.youtube.com/live/Szdgut4tzAk?si=j_Q18erEK8aG5GrK
Hata usipotick tayari tume wameshakufikia usiwe na wasiOctober ninatiki
Anarushanmate tu kiswahili wenyewe kajifunzia kawesijaona bomu aliloahidi......
Namuelewa na nakubaliana naye sana kwa anachokisema. Ila aliahidi kuwa atasema kitu nchi itatikisika, sasa sijaona.Anarushanmate tu kiswahili wenyewe kajifunzia kawe