👍🏾Kwani lini bunge lilikuwa na hadhi.
Kosa alilolifanya Gwajima ni kuamua kutumikia Mabwana wawili , Mbaya zaidi anaenda Kwa bwana huyu na masharti na taratibu za Bwana mwingine kitu ambacho hakipo. Akubali amekengeuka ama sivyo ataaibishwa mchana kweupe
Mungu hadhihakiwi
Yeye alishasema hawezi kuwa Mbunge wala Rais Hivyo ni kujishusha hadhi.
Kosa alilolifanya Gwajima ni kuamua kutumikia Mabwana wawili , Mbaya zaidi anaenda Kwa bwana huyu na masharti na taratibu za Bwana mwingine kitu ambacho hakipo. Akubali amekengeuka ama sivyo ataaibishwa mchana kweupe
Mungu hadhihakiwi
Yeye alishasema hawezi kuwa Mbunge wala Rais Hivyo ni kujishusha hadhi.
Kosa la Jerry Slaa ni kuhoji kwa nini wabunge hawakatwi kodi kwenye mishahara yao sio.?
Usinidanganye. Kinywa kinaumba hicho ulichokikataa siku ukikiendea kitakukataa weweWhat if kama aliamua ku-revise maono yake? Kwani ni kosa? [emoji2369]
Yani mnaona ni ishuuuu Eti Kwanini alisema hataki ubunge halafu akautaka badae?!
Mbona siyo ishu?!
NB: “ it is okey for a person to change his/her opinion(s) after learning more about it “
Msikariri mambo, Ulimwengu huu haujasimama wala kukaa unakimbia na kubadilika kila sekunde kutokana na maendeleo ya teknolojia.
Asomae na afahamu!
Usinidanganye. Kinywa kinaumba hicho ulichokikataa siku ukikiendea kitakukataa wewe
Subiria matokeo
Ndo hata mimi nashangaaaKwani lini bunge lilikuwa na hadhi.
[emoji817][emoji3581]Kusema ukweli ni kushusha haadhi ya Bunge?
Kuwa na mtazamo tofauti na spika ni kuvunja haadhi ya Bunge?
JPM aliwahi itwa na Bunge kuonywa juu ya kauli zake kuwa chanjo hazifai? maana na yeye alikuwa sehemu ya Bunge.
Hakuna anayepotoshwa hapo, kama Gwajiboy anapotosha basi na serikali inapotosha kwa upande wake lakini kiuhalisia kila upande unatoa maelekezo unayoamini ni sahihi.Kwahiyo wewe umejigeuza mtetezi wa wapinga chanjo, na wasumbua wenye hiari ya chanjo sio, wao kukataa chanjo nu hiari yao ila sii kuwazuia wenye hiari au kuwapotosha wengine.
Si kwa wabunge wa Kibongo, ndiyo kwanza wanataka waongezewe mishahara na marupurupu tena wawe wanalipwa kwa US $.Jerry kusema wabunge watoe tozo kwenye mishahara yao imekuwa nongwa, khaaa! Na kila baada ya miaka 5 wanafunga mikataba ya ajira zao za ubunge wanapewa marupuru yao yote haijalishi mbunge ataendelea kwa vipindi vingapi? Tena hiyo hiyo serikali inayafanya mambo tofauti kabisa kwa wafanyakazi wake wengine fikiria walimu, makarani, askari kama yule aliye kuwa analalamika hadharani akisema mke wake ni mwalimu ana ahueni kuliko yeye. Ulinganishe watumishi wote hawa na wabunge ambao spika wao anamwita Jerry kwenye kamati kwa kosa la nafsi yake kumsuta na kuwaambia wenzake walipe tozo kutoka kwenye mishahara yao.
Kweli wabunge wetu wasingeona fahari mh Mwigulu akitutangazia kwamba tumekusanya bilioni kadhaa kutoka kwenye tozo ya miashara ya miezi 3 ya wabunge na fedha hizi tayari zimepelekwa kuchimba visima vya maji kadhaa kwenye vituo vya afya/ shule zilizo na changamoto ya huduma hiyo ya maji.
Wale aliowapa nafasi au,waliochaguliwa enzi zile. Wakwake wasingeweza kuhoji chochote, na bado hawathubutu.[emoji817][emoji3581]View attachment 1902687
Ukiitwa kwenye hiyo kamati, kama ni mwana-CCM, wanachukua akili yako, wanakuacha uende mikono mitupu. Nafikiri unaona jinsi Mayala alivyo leo, na kabla ya kuitwa kwenye hiyo kamati.Hii kamati ndio ndugu Pasco Mayalla aliwahi kuitwa nadhani, akabadilika sana toka aende huko