#COVID19 Askofu Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer na mgunduzi wa MRNA watakutana Zoom kujadili Madhara ya chanjo

Huyo mpuuuzi hana accesss ya kukutana na watu wenye akili labda wapiga kura wake wa Kawe.
Yaani nimeshangaa. Eti rafiki zake... Urafiki huo tangu lini kama siyo geresha tu.

Siamini kama hili kinawezekana.
 
HAMZA KAHARIBU KIKI YA GWAJIMA. GWAJIMA ASUBIRI HADI HAMZA AZIKWE NDIO AANZE KIKI ZAKE.
 
Sasa Pfizer wana-interests gani ya kuzungumza na Gwajima au Watanzania maana sisi tunachanja JJ sio Pfizer.
La ajabu zaidi, JJ haitumii hiyo mRNA technology. Kuna uzwazwa hapa!
Maana yake, tuchanjwe Pfizer maana ni ya marafiki zake na atajadiliana nao Kwa kina na watamthibitishia kuwa haina madhara yoyote. Ataunga juhudi za chanjo bila shaka.

Alisema braza hapa ni swala la muda tuu Pascal Mayalla
 
Kazi ipo!
Hamna kitu hapo, Gwajima keshakubali chanjo. Hiyo ni justification zake. Mwishowe Gwajima atawatangazia watangazia kuwa ameridhishwa na majibu ya Pfizer na kuwa yupo tayari kwa chanjo.
Hakuna namna Gwajima akawa na hoja ya kudebate na Mkurugenzi wa chanjo wa Pfizer kwa namna yoyote ile kwa sababu ni kama mtu mzima anayeongea na mtoto wa chekechea.
 
Medical intelligence, economic intelligence! Gwajima ni akili kubwa!
Ndiyo mana wengine Hawamwelewi, wanaishia kutukana tu!
 
Kasema hayo tu?
 
Wewe ni mpumbavu pia!
Kwani Bill Gates, anayetengeneza na kusambaza chanjo yeye ni daktari?
Tangu lini mtaalamu wa software za computer akahusika na chanjo, amesomea wapi udaktari, acha ufala kwani hadi sasa bado unaamini kuwa kuna Corona?
Fala wewe hebu waambie jamaa zako waache kuvaa barakoa kama utaona mgonjwa wa Covid19 nchini..fyuuu
 
bill gates anatengeneza chanjo gani?
 
Sasa toa alternative wafanyeje watu ambao wapo kwenye risk ya kupata Covid 19? Yaani kuna nchi wanakufa elfu 1 kwa siku..... Kma Chanjo hazifai ssa watumie nni???
 
Yaani mtu timamu unaanzaje kumsikiliza Gwajiboy kwa mfano, ila sikiliza kutoka kwangu, kama una kisukari au Ukimwi sugu/tatanishi au tayari una Corona hata kwa kujihisi, ndugu yangu usijaribu kuchanja, jua una chances ya 95% ya kufariki. Ila kwenye ya kuwa na corona then ukachanja chances za kufa zimechangamka sana, usichukulie hili kama mzaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…