Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah! Ngoja tuone movie itaishaje!Hawezi toa mrejesho huyo kawa mdogo kama piritoni
Kisheria hatakiwi kuongeea chochote juu ya yaliotokea wakati anahojiwa. Rejeacase ya Pasco, alivyotoka hakuongea lolote kilichojili na tume katika mahojiano yaoKwani hajatoa mrejesho juu ya case yake na Wana wa kijani kupitia Tume ya maadili?
Jumapili ya leo hajafanya maigizo pale kwenye mabanda yake ya mbuzi pale Ubungo ?Hawezi toa mrejesho huyo kawa mdogo kama piritoni
Yaani nimeshangaa. Eti rafiki zake... Urafiki huo tangu lini kama siyo geresha tu.Huyo mpuuuzi hana accesss ya kukutana na watu wenye akili labda wapiga kura wake wa Kawe.
Maana yake, tuchanjwe Pfizer maana ni ya marafiki zake na atajadiliana nao Kwa kina na watamthibitishia kuwa haina madhara yoyote. Ataunga juhudi za chanjo bila shaka.Sasa Pfizer wana-interests gani ya kuzungumza na Gwajima au Watanzania maana sisi tunachanja JJ sio Pfizer.
La ajabu zaidi, JJ haitumii hiyo mRNA technology. Kuna uzwazwa hapa!
Hamna kitu hapo, Gwajima keshakubali chanjo. Hiyo ni justification zake. Mwishowe Gwajima atawatangazia watangazia kuwa ameridhishwa na majibu ya Pfizer na kuwa yupo tayari kwa chanjo.Kazi ipo!
Medical intelligence, economic intelligence! Gwajima ni akili kubwa!Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake
Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,
Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali
Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala
Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao
Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana
Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Hahahaaaa........!Hii comments ihifadhiwe vizur mana haya ndo yajayo, count on me, anarudi kwenye reli baada ya kashkash kubwa.
Kasema hayo tu?Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake
Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,
Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali
Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala
Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao
Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana
Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Wewe ni mpumbavu pia!Gwajima sio mwanasayansi, atapata wapi uhalali wa kupinga chanjo ya wengine kama yeye hana ya kwake? tafiti hupingwa na tafiti, sio kelele za kanisani, au ana maabara kanisani kwake? aliposema within 5 years watu waliochanja watapata madhara alitumia kigezo gani?
Naona Gwajima anaendelea kutafuta njia za kuchezea akili za wajinga tu, kila jumapili aimbwe yeye mitandaoni, lakini kiuhalisia Gwajima anapotezea watu muda kwa hizi ngonjera zake, alisema Corona haitakuja Tanzania ikaja, leo ametafuta kiki nyingine nothing else.
Hawezi amebana matako kama mtu aliyeshikwa na haja kubwa sasa chooni kakuta foleni ndio maana amaongea sanaKwani hajatoa mrejesho juu ya case yake na Wana wa kijani kupitia Tume ya maadili?
bill gates anatengeneza chanjo gani?Wewe ni mpumbavu pia!
Kwani Bill Gates, anayetengeneza na kusambaza chanjo yeye ni daktari?
Tangu lini mtaalamu wa software za computer akahusika na chanjo, amesomea wapi udaktari, acha ufala kwani hadi sasa bado unaamini kuwa kuna Corona?
Fala wewe hebu waambie jamaa zako waache kuvaa barakoa kama utaona mgonjwa wa Covid19 nchini..fyuuu
Sasa toa alternative wafanyeje watu ambao wapo kwenye risk ya kupata Covid 19? Yaani kuna nchi wanakufa elfu 1 kwa siku..... Kma Chanjo hazifai ssa watumie nni???Nyie watu ipo siku ambayo mtatamani siku zirudishwe nyuma lakini haitawezekana. Gwajima mnaweza kumuona mpuuzi leo hii lakini miaka kadhaaa mbele itakuwa majuto Ni mjukuu. Mwaka 2017 Kuna kitu niliandika humu Jf nikaambiwa umaskini unanisumbu lakini Jambo lile limetokea 2021.
Yaani mtu timamu unaanzaje kumsikiliza Gwajiboy kwa mfano, ila sikiliza kutoka kwangu, kama una kisukari au Ukimwi sugu/tatanishi au tayari una Corona hata kwa kujihisi, ndugu yangu usijaribu kuchanja, jua una chances ya 95% ya kufariki. Ila kwenye ya kuwa na corona then ukachanja chances za kufa zimechangamka sana, usichukulie hili kama mzaha.Nyie watu ipo siku ambayo mtatamani siku zirudishwe nyuma lakini haitawezekana. Gwajima mnaweza kumuona mpuuzi leo hii lakini miaka kadhaaa mbele itakuwa majuto Ni mjukuu. Mwaka 2017 Kuna kitu niliandika humu Jf nikaambiwa umaskini unanisumbu lakini Jambo lile limetokea 2021.
Si alisema Covid 19 imesababishwa na 5G ?? Leo hii amekua credible kuchambua chanjo?Yes, ndio maana namuunga mkono Gwajima. Naiona dhamira yake safi juu ya hili. Tumsifu Yesu Kristo [emoji847]
Ana agency yake inaitwa Gavi, ina deal na chanjo..fuatilia pia Bill ni Funder namba mbili wa WHO after USA...bill gates anatengeneza chanjo gani?