#COVID19 Askofu Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer na mgunduzi wa MRNA watakutana Zoom kujadili Madhara ya chanjo

#COVID19 Askofu Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer na mgunduzi wa MRNA watakutana Zoom kujadili Madhara ya chanjo

Huyo mpuuuzi hana accesss ya kukutana na watu wenye akili labda wapiga kura wake wa Kawe.
Yaani nimeshangaa. Eti rafiki zake... Urafiki huo tangu lini kama siyo geresha tu.

Siamini kama hili kinawezekana.
 
HAMZA KAHARIBU KIKI YA GWAJIMA. GWAJIMA ASUBIRI HADI HAMZA AZIKWE NDIO AANZE KIKI ZAKE.
 
Sasa Pfizer wana-interests gani ya kuzungumza na Gwajima au Watanzania maana sisi tunachanja JJ sio Pfizer.
La ajabu zaidi, JJ haitumii hiyo mRNA technology. Kuna uzwazwa hapa!
Maana yake, tuchanjwe Pfizer maana ni ya marafiki zake na atajadiliana nao Kwa kina na watamthibitishia kuwa haina madhara yoyote. Ataunga juhudi za chanjo bila shaka.

Alisema braza hapa ni swala la muda tuu Pascal Mayalla
 
Kazi ipo!
Hamna kitu hapo, Gwajima keshakubali chanjo. Hiyo ni justification zake. Mwishowe Gwajima atawatangazia watangazia kuwa ameridhishwa na majibu ya Pfizer na kuwa yupo tayari kwa chanjo.
Hakuna namna Gwajima akawa na hoja ya kudebate na Mkurugenzi wa chanjo wa Pfizer kwa namna yoyote ile kwa sababu ni kama mtu mzima anayeongea na mtoto wa chekechea.
 
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona

Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake

Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,

Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali

Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala

Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao

Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana

Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Medical intelligence, economic intelligence! Gwajima ni akili kubwa!
Ndiyo mana wengine Hawamwelewi, wanaishia kutukana tu!
 
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona

Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake

Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,

Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali

Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala

Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao

Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana

Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa
Kasema hayo tu?
 
Gwajima sio mwanasayansi, atapata wapi uhalali wa kupinga chanjo ya wengine kama yeye hana ya kwake? tafiti hupingwa na tafiti, sio kelele za kanisani, au ana maabara kanisani kwake? aliposema within 5 years watu waliochanja watapata madhara alitumia kigezo gani?

Naona Gwajima anaendelea kutafuta njia za kuchezea akili za wajinga tu, kila jumapili aimbwe yeye mitandaoni, lakini kiuhalisia Gwajima anapotezea watu muda kwa hizi ngonjera zake, alisema Corona haitakuja Tanzania ikaja, leo ametafuta kiki nyingine nothing else.
Wewe ni mpumbavu pia!
Kwani Bill Gates, anayetengeneza na kusambaza chanjo yeye ni daktari?
Tangu lini mtaalamu wa software za computer akahusika na chanjo, amesomea wapi udaktari, acha ufala kwani hadi sasa bado unaamini kuwa kuna Corona?
Fala wewe hebu waambie jamaa zako waache kuvaa barakoa kama utaona mgonjwa wa Covid19 nchini..fyuuu
 
bill gates anatengeneza chanjo gani?
 
Nyie watu ipo siku ambayo mtatamani siku zirudishwe nyuma lakini haitawezekana. Gwajima mnaweza kumuona mpuuzi leo hii lakini miaka kadhaaa mbele itakuwa majuto Ni mjukuu. Mwaka 2017 Kuna kitu niliandika humu Jf nikaambiwa umaskini unanisumbu lakini Jambo lile limetokea 2021.
Sasa toa alternative wafanyeje watu ambao wapo kwenye risk ya kupata Covid 19? Yaani kuna nchi wanakufa elfu 1 kwa siku..... Kma Chanjo hazifai ssa watumie nni???
 
Nyie watu ipo siku ambayo mtatamani siku zirudishwe nyuma lakini haitawezekana. Gwajima mnaweza kumuona mpuuzi leo hii lakini miaka kadhaaa mbele itakuwa majuto Ni mjukuu. Mwaka 2017 Kuna kitu niliandika humu Jf nikaambiwa umaskini unanisumbu lakini Jambo lile limetokea 2021.
Yaani mtu timamu unaanzaje kumsikiliza Gwajiboy kwa mfano, ila sikiliza kutoka kwangu, kama una kisukari au Ukimwi sugu/tatanishi au tayari una Corona hata kwa kujihisi, ndugu yangu usijaribu kuchanja, jua una chances ya 95% ya kufariki. Ila kwenye ya kuwa na corona then ukachanja chances za kufa zimechangamka sana, usichukulie hili kama mzaha.
 
Back
Top Bottom