mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ila niliona andiko lake mgunduzi huhu wa chanjo ya mRNA akilalamika kuwa anasikitika kuwa madhara ya chanjo nii aliyoigundua hayazungumzwi kwa wazi na utafiti wa athari za chanjo hii za muda mrefu haujafanyika!! Kwa kifupi haungi mkono chanjo hii kutumika kwa watu wengi maana bado ipo kwenye majaribio.
Naona iliota mbawa!
Kuna Zombie wao wanataka wachanjwe tu ili tu ionekane hawafuati mtazamo wa Mwendazake.Ila niliona andiko lake mgunduzi huhu wa chanjo ya mRNA akilalamika kuwa anasikitika kuwa madhara ya chanjo nii aliyoigundua hayazungumzwi kwa wazi na utafiti wa athari za chanjo hii za muda mrefu haujafanyika!! Kwa kifupi haungi mkono chanjo hii kutumika kwa watu wengi maana bado ipo kwenye majaribio.
Ina maana dunia nzima haina Mungu ila Tanzania tu? kama ni hivyo mbona bado mnapokea ARVs na Panadol kutoka kwa mabeberu au hamuamini Mungu anaweza waponya magonjwa mengine nje ya corona??Mungu aliamua kuiponya TZ hawawezi kumlazimisha.
Chanjo ya Ebola mbona hatukusikia hizi kelele na ilipitishwa na WHO ndani ya saa 72 tu??Ila niliona andiko lake mgunduzi huhu wa chanjo ya mRNA akilalamika kuwa anasikitika kuwa madhara ya chanjo nii aliyoigundua hayazungumzwi kwa wazi na utafiti wa athari za chanjo hii za muda mrefu haujafanyika!! Kwa kifupi haungi mkono chanjo hii kutumika kwa watu wengi maana bado ipo kwenye majaribio.
Ukimuuliza Mungu Mbinguni atakujibu,kukusaidi tu alishasema nitamurehemu yeye nitakaye kumurehemu,huwezi kumchagulia.Ina maana dunia nzima haina Mungu ila Tanzania tu? kama ni hivyo mbona bado mnapokea ARVs na Panadol kutoka kwa mabeberu au hamuamini Mungu anaweza waponya magonjwa mengine nje ya corona??
Kuna Zombie wao wanataka wachanjwe tu ili tu ionekane hawafuati mtazamo wa Mwendazake.
Viongozi walifikiri issue ya Corona ni simple Sana,matokeo yake wamebaki njiapanda,chanjo zimedoda na huenda zimeexpire,eti kutangaza visa,iliiweje kwa faida ya Nani?
Watu hawatishiki walianza na vitisho wimbi sijui la ngapi,wabongo wanaendelea na maisha kamakawaida,hakuna barakoa Wala social distance mf.kwenye mechi ya Simba na Yanga.
Mungu aliamua kuiponya TZ hawawezi kumlazimisha.