#COVID19 Askofu Gwajima na Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer na mgunduzi wa MRNA watakutana Zoom kujadili Madhara ya chanjo

Ila niliona andiko lake mgunduzi huhu wa chanjo ya mRNA akilalamika kuwa anasikitika kuwa madhara ya chanjo nii aliyoigundua hayazungumzwi kwa wazi na utafiti wa athari za chanjo hii za muda mrefu haujafanyika!! Kwa kifupi haungi mkono chanjo hii kutumika kwa watu wengi maana bado ipo kwenye majaribio.
 
Mambo ya wataalamu kujiingiza huko ni kujidhalilisha tu.

SSH amekuwa wazi kwenye nukuu zake toka WHO.

Hadi Dec 2021 40% kila nchi wachanjwe.
Hadi Dec 2022 70% kila nchi wachanjwe.

Tokea kwenye projections hizo kufikia Dec 2022 Corona tutakuwa tumeishinda na maisha ya watu yanayopotea kuokolewa.

Projections za hawa imbeciles wengine wenye vichwa vitupu (aka vichwa panzi) ni zipi?
 
Naona iliota mbawa!

Watu kujipa umuhimu wasiokuwa nao.

IMG_20210917_174541_972.jpg

Huyu saizi yake mboni ni shemejiye tu?
 
Ila niliona andiko lake mgunduzi huhu wa chanjo ya mRNA akilalamika kuwa anasikitika kuwa madhara ya chanjo nii aliyoigundua hayazungumzwi kwa wazi na utafiti wa athari za chanjo hii za muda mrefu haujafanyika!! Kwa kifupi haungi mkono chanjo hii kutumika kwa watu wengi maana bado ipo kwenye majaribio.
Kuna Zombie wao wanataka wachanjwe tu ili tu ionekane hawafuati mtazamo wa Mwendazake.
Viongozi walifikiri issue ya Corona ni simple Sana,matokeo yake wamebaki njiapanda,chanjo zimedoda na huenda zimeexpire,eti kutangaza visa,iliiweje kwa faida ya Nani?

Watu hawatishiki walianza na vitisho wimbi sijui la ngapi,wabongo wanaendelea na maisha kamakawaida,hakuna barakoa Wala social distance mf.kwenye mechi ya Simba na Yanga.
Mungu aliamua kuiponya TZ hawawezi kumlazimisha.
 
Ina maana dunia nzima haina Mungu ila Tanzania tu? kama ni hivyo mbona bado mnapokea ARVs na Panadol kutoka kwa mabeberu au hamuamini Mungu anaweza waponya magonjwa mengine nje ya corona??
 
Chanjo ya Ebola mbona hatukusikia hizi kelele na ilipitishwa na WHO ndani ya saa 72 tu??

WaTanzania tuache ujuaji kama hatutako chanjp tutengeneze ya kwetu sio kuvizia kazi za wengine tuanze kuwazodoa.

Wao at least wametafuta suluhu na zile number za zamani sijui watu elfu 5 wamekufa siku moja zimepotea kabisa!! Ila Sisi tumekalia kuwakejeli tu mitandaoni so funny!!
 
Ina maana dunia nzima haina Mungu ila Tanzania tu? kama ni hivyo mbona bado mnapokea ARVs na Panadol kutoka kwa mabeberu au hamuamini Mungu anaweza waponya magonjwa mengine nje ya corona??
Ukimuuliza Mungu Mbinguni atakujibu,kukusaidi tu alishasema nitamurehemu yeye nitakaye kumurehemu,huwezi kumchagulia.
 
Kuna Zombie wao wanataka wachanjwe tu ili tu ionekane hawafuati mtazamo wa Mwendazake.
Viongozi walifikiri issue ya Corona ni simple Sana,matokeo yake wamebaki njiapanda,chanjo zimedoda na huenda zimeexpire,eti kutangaza visa,iliiweje kwa faida ya Nani?

Watu hawatishiki walianza na vitisho wimbi sijui la ngapi,wabongo wanaendelea na maisha kamakawaida,hakuna barakoa Wala social distance mf.kwenye mechi ya Simba na Yanga.
Mungu aliamua kuiponya TZ hawawezi kumlazimisha.

Ni ma zombie wenye vichwa vya aina yake (vichwa panzi) tu wanaoweza kubebwa wazima wazima na kuwa sehemu kwenye huu upuuzi:

Hii ikiwa ni katikati ya gonjwa linalouwa ambalo WHO imeliita janga la dunia.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom