#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

Jadili hoja, sio mto hoja.
Inaeleka baba yako alipoteza pesa zake bure kukupeleka shule, bora angezipeleka bar tu.

Viongozi na wataalam hao hao ndio walio kua mistari wa mbele kutushauri Wananchi kua chanjo hazifai badala yake tujifukize, sasa leo vipi wanageuka tena?

Au wanafuata upepo unapo vuma?
 
Hakuna mtaalam aliyelazimisha majiko ni Magufuli na Samia ambao ndio walimpa huo ubunge wa damu na vifo vya Raia.

Hata kaa awe na amani Gwajima. Hiki kinachoendelea ni laana
Gwajima Ni Boyer kipeo Cha pili lkn nimefurahi pia kuzijua Tabia halisi za Halima Mdee huyu Ni utopolo square.
 
Hakuna mtaalam aliyelazimisha majiko ni Magufuli na Samia ambao ndio walimpa huo ubunge wa damu na vifo vya Raia.

Hata kaa awe na amani Gwajima. Hiki kinachoendelea ni laana
Sasa huyo Samia si ndio huyo huyo alieanza kuchanjwa siku ya kwanza ya kampeni ya chanjo, nini sasa kilicho mpata mpaka kushindwa kusimamia alicho tuaminisha?
 
Kitendo cha gwajima kusema viongozi ni vigeugeu na kuwataka wajiuzulu ni mwendelezo wa dhihaka na kebehi kwa kiti cha urais na mwenyekiti wake wa chama. Huyu mtu adhibitiwe mapema kabla hajaaribu zaidi
 
Ila Gwajima anamuona Samia Ni mnyonge Sana kwake na hana Cha kumfanya.

Nikikumbuka Gwajima alivyokua anamwambia JK pale madhabahuni eti nakukemea kikweteeeee Hahah Ila alivyoingia Magu kakafyata mkia kakaishia tu kusema wasukuma nchi mzima tujiunge sisi Ni jeshi kubwaa.

Nadhani hua ana allergy na kiongozi waislam na ana ukabila ndani yake.
 
Pitia kwanza utumbo ulioandika,then nenda shule tena ndipo umkosoe Gwajima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaalamu bongo hakuna watu walewale waliopiga nyungu ndio sasa wanapata chanjo hata mwaka haujaisha.
Hawa tunawaita wanafiq.
Mtume Muhammad (s.a.w) alitufundisha kua, mnafiq ana dalili tatu, moja yapo ndio hiyo walio ionyesha hao wataalm wetu.
 
Anachokitafuta kipo ready ajili yake aoon atapata
 
Ni Magufuli ndo aliyekuwa anasema chanjo hazifai..

Wewe mtu anawazingua hadi Maaskofu kanisani kisa tu wamevaa barakoa..hawa mawaziri wasingeweza kwenda kinyume chake..Usicheze na mkono wa chuma.

The problem started from JPM witch-doctoring on covid19 issue.
 
Wa kwanza kujiuzulu awe ni dadake anarukaruka uradhani kavuta bangi. Mdomo abauchonga utadhani kala pilipili kichaa. Wakati wa Kayafa ndiye alikuwa anafanya komedi nyiingi za kupinga chanjo. Mwingine ni yule aliyeokotwa jalani aliyeifuata juisi Madagaska akawa anafanya shoo za kuinywa. Mpaka leo haijulikana juisi aliimaliza au ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…