#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

Huyu Ndugu zamani Nilikuwa namdharau Sana lakini kwa hili la Corona..day...aisee...
 
Ukweli ni kwamba ndani ya leadership na medical professionals hakuna anayeweza kujibu hoja zake
 
Mpaka hapo wazungu wameweza kutuaminisha kwamba chanjo ni wewe mwenyewe kuchukua tahadhari kama sivyo iweje uchanje afu uteseke na mabarakoa
 
Muacheni mtumishi wa mungu. Atakupiga mpaka utawanyike kusikojulikana. Kwani ameongea uongo? Wasomi si vigeugeu kutegemeana rais ni nani au wao wenyewe hawajui lolote bali walikalili tu
 
Dodoma hapakalini. Pale wamemwaga Damu ya Lissu kila wakifika pale miguu inawasha.

Rejea mlima Gilboa alikouawa Mfalme Sauli palilaaniwa pakakosa Mvua na umande na hakuna mtu wa maana anapakaa.
Mkuu hivi mtu wa maana ni mtu gani!
 
Huyu jamaa yeye ndio kigeugeu namba moja, hatofautishi agenda za dini na siasa, afu hiyo chama iliyompa nafasi ya siasa haina hata namna ya kumthibiti, may be thy like the way he is rolling the ball.
Mlimpaje ubunge??? hamkujua kuwa ni askofu na ana imani hiyo. Nyamaza milele hayo mambo ya siasa na dini yaache, you seem stupid
 
Kwa nini mijitu mijinga huwamnajianika kiasi hiki, Wewe unaongelea kipi sasa kwenye hoja za gwajima?
 
Kutofautiana mitazamo kunasaidia kurekebisha hali. Serikali ilipashwa kuanza na utoaji elimu kuhusu chanjo. Kuleta taarifa za tafiti mpya kwa sababu kila siku kuna taarifa mpya. Mfano kwanini kuna variant tofauti tofauti kunatokana na nini...then faida za chanjo ni zipi.

Kumshutu Gwajima na kumtusi sio mwisho wa majadiliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…