#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

Anapointi ila kwa watanzania hawa kila wakati ni waongowaongo.Anagalia hata kazi za ikulu zimeeudi Dar kalibia mwezi na matokeo yake hera nyingi zinatumika kulioana posho
Kwani Ikulu ya Dar ilihama?

Mbona wakati ule Meko alihamishia Ikulu kwa Bibi yake Chato na mlikuwa mnasema Ofisi popote?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Nasi tusiwe vigeugeu,tusiwe wachumia tumbo,tatizo letu watanzania tunapenda sana vyeo na tunapenda sana kujali matumbo yetu,tunakuwa wepesi wa kubadirika kulingana na mazingira,akiwepo huyu tunauaminisha umma hivi,akija mwingine na falsafa zake tunabadir gia angani ilimradi tu kujikweza na kuendelea kushika vyeo, watanzania sio wajinga kiasi hicho, tujifunze kusimamia kitu kimoja kama Taifa,naimani kesho akiondoka aliyepo sasa na akaja mwingine na vitu vyake sisi wachumia tumbo tutacheza kulingana na mlio wa ngoma hiyo,Poor my country!

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Yupo sahihi maswali yake yapo kisayansi kuliko hata hao wanasayansi wa ki-Tanzania wanaocheza n akili za watawala wanamwelekeo gani , kiujumla ma- prof. na ma-Dr. wetu wengi hawatumii fani zao vizuri zaidi ya kuendekeza upambe
 
Yule Aliyefufua msukule, askofu mahili na shupavu aliewatangazia kondoo wake kuwa hawezi kugombea ubunge kwake ni demotion, leo amedai anasubiri wataalamu Wa nchi hii wamuonyeshe research walizofanya juu ya chanjo kisha awaulize maswali magumu hadi watawanyike,

baada ya kusema hayo kondoo wake wakashangilia na kusema Amen

je, wataalamu watamuonyesha papers za research?

nani mshindi kati ya Rashid na serikali?
ngoja tuendelee kusubiri
 
Back
Top Bottom