#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

Yupo sahihi maswali yake yapo kisayansi kuliko hata hao wanasayansi wa ki-Tanzania wanaocheza n akili za watawala wanamwelekeo gani , kiujumla ma- prof. na ma-Dr. wetu wengi hawatumii fani zao vizuri zaidi ya kuendekeza upamb

akili zako na ww zitakua kama lile jinga lililosema korona ni futa ukijifukiza linapasuka😀😀😀

akili zako na ww zitakua kama lile jinga lililosema korona ni futa ukijifukiza linapasuka😀😀😀
Hakika waafrika tumerogwa kweli kweli yaani wazungu ndo wanaongoza kwa vifo juu ya uvk afu akusaidie ww kenge hahahaha
 
Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu

Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19

Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la kujifukiza nyungu na waliwaaminisha wananchi kuwa chanjo hazifai

Gwajima anasema Leo ghafla wataalamu hao wanahubiri chanjo, Je wanamdanganya nani?

Gwajima anahoji lile jiko sasa wanaalitumia kwa kazi gani pale Muhimbili kwani waliokataa chanjo ndio hao vinara wa kusisitiza chanjo

Gwajima anasisitiza hao wataalamu wa ndani walete Papers au Research zao wamefanya lini na wapi kuhusu chanjo za korona.

Gwajima anasema waje wataalamu hao wa ndani waeleze Madhara ya muda mrefu na mfupi wa chanjo ndio hapo atakuja na Maswali magumu ya kufanya watawanyike

Anasema viongozi makini wangejiuzulu kazi hawafai kuongoza Taifa kwa kuwa vigeugeu kwa kuangalia nani anaongoza juu yao

Tunapenda vihoja lakini watu wanakufa. Afya sio mambo ya utani. Wiki iliyopita rafiki yangu kaka yake kafariki miaka 50 alikuwa Dr department ya statistics UDSM halafu kwa mshituko baba yake kafariki siku mbili baada kwa mpasuko
Wa damu. Kaka yake alipata Corona. Leo hii watu wanaweka vijoja🤔 nchi yetu imajaa watoto tunajua lakini tumezidi
 
Huyu jamaa yeye ndio kigeugeu namba moja, hatofautishi agenda za dini na siasa, afu hiyo chama iliyompa nafasi ya siasa haina hata namna ya kumthibiti, may be thy like the way he is rolling the ball.
Kumdhibiti siyo kumthibiti!!
 
Mimi sio mchawi wala Nabii ila Namuona jamaa akidondoka.
One day nitafukua kaburi humu
 
Tunapenda vihoja lakini watu wanakufa. Afya sio mambo ya utani. Wiki iliyopita rafiki yangu kaka yake kafariki miaka 50 alikuwa Dr department ya statistics UDSM halafu kwa mshituko baba yake kafariki siku mbili baada kwa mpasuko
Wa damu. Kaka yake alipata Corona. Leo hii watu wanaweka vijoja🤔 nchi yetu imajaa watoto tunajua lakini tumezidi
Mkuu inshu ni moja tu ukichanjwa ndo unakuwa safe na uvko .barakoa,mita mbili,santaiza utaviepuka amka mwafrika tatizo sio chanjo tatizo ni chanjo fake
 
Kama ww ni mjanja kweli achana na gwajima vp? kuhusu wazungu wanaokesha kuiponda chanjo mpaka viongozi wakubwa wako na tofauti iko mamboo
 
Hivi huyu jamaa ina maana ameshamaliza mahubiri yote kwenye biblia imebaki corona tu?
Watu aina ya Gwajima nawakubali sana.
Lazima tuwe watu wenye misimamo isiyo yumbishwa, sio leo njano kesho nyekundu.
Naam msimamo kama jamaa mmoja anayeitwa Gwajima ambaye aliapa kuwa hawezi kugombea ubunge au uraisi kwa sababu ni vyeo vidogo kuliko uaskofu halafu ghafla tukasikia kumbe anaitwa Rashidi na siyo.

Gwajima na akawa akiwaahidi wana Kawe kuwapeleka Birmingham Alabama huko USA ili wampe cheo kidogo kabisa cha ubunge.
 
Anachotaka ni nini hasa? Hayo mambo si yaliisha isha?

Amesahahu kama yenyewe iliiambia hiyo misukule yake kwamba haiwezi kugombea ubunge maana ni demotion?

nimeshagundua kinachoisumbua hii mbuzi inataka umaarufu wa kuongelewa mitandao
hatuwezi kutembelea akili za yule mwendawazimu aliedharau korona akafa kwa korona na maujinga yake
We mbuzi nini hujui unataka nini kwenye maisha yako
 
Gwajima yupo sahihi sana ku speak out msimamo wake na asibughudhiwe,

Kama kuhamasisha watu kuchanja si kosa iweje kuhamasisha watu kutochanja iwe kosa
 
Hivi huyu jamaa ina maana ameshamaliza mahubiri yote kwenye biblia imebaki corona tu?

Naam msimamo kama jamaa mmoja anayeitwa Gwajima ambaye aliapa kuwa hawezi kugombea ubunge au uraisi kwa sababu ni vyeo vidogo kuliko uaskofu halafu ghafla tukasikia kumbe anaitwa Rashidi na siyo....
na hilo kanisa sijui kama lina watu wanaojielewa
 
Huyu ni maarufu kuliko unavyodhani,anaongea fact ila nyie mnaotumia akili za wengine kufikiri ndio mko zero brain,tena ktk familiy zenu mnategemewa kweli kumbe timu mkumbo leo jua ksh mvua,male usipokuwa na msimamo wa maisha basi athari itaenda hadi kwa watoto na vijukuu,nyie mmburuzwe tu na elimu za vyeti mnazo
Anachotaka ni nini hasa? Hayo mambo si yaliisha isha?

Amesahahu kama yenyewe iliiambia hiyo misukule yake kwamba haiwezi kugombea ubunge maana ni demotion? I

nimeshagundua kinachoisumbua hii mbuzi inataka umaarufu wa kuongelewa mitandao
hatuwezi kutembelea akili za yule mwendawazimu aliedharau korona akafa kwa korona na maujinga yakehuyu
 
Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu

Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19

Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la kujifukiza nyungu na waliwaaminisha wananchi kuwa chanjo hazifai

Gwajima anasema Leo ghafla wataalamu hao wanahubiri chanjo, Je wanamdanganya nani?

Gwajima anahoji lile jiko sasa wanaalitumia kwa kazi gani pale Muhimbili kwani waliokataa chanjo ndio hao vinara wa kusisitiza chanjo

Gwajima anasisitiza hao wataalamu wa ndani walete Papers au Research zao wamefanya lini na wapi kuhusu chanjo za korona.

Gwajima anasema waje wataalamu hao wa ndani waeleze Madhara ya muda mrefu na mfupi wa chanjo ndio hapo atakuja na Maswali magumu ya kufanya watawanyike

Anasema viongozi makini wangejiuzulu kazi hawafai kuongoza Taifa kwa kuwa vigeugeu kwa kuangalia nani anaongoza juu yao
Ana mapungufu yake ila kwny hili TUTASIMAMA NAYE,mjibu hoja zake wakati wa JPM mlisadiki nyungu leo chanjo , nyie jinsia ipi
 
Hii ndio shida ya makanisa ya mfukoni. RC,KKKT huwezi kuongea shudu wakakuacha
 
Hii mbuzi hata ubunge haikuchaguliwa.
Hivi kwanini mnashindwa kujibu hoja zake badala yake mnatukana tu. Sasa ukiulizwa kati yake na ninyi nani ni mbuzi utajibu nini? Nafikiri ni vyema kujikita katika kujibu hoja zake. Kweli swali langu pia ni madhara gani yataweza kutokea kwa wale wanaopata hiyo chanjo baada ya miaka kadhaa baada ya kupata hiyo chanjo? Kipi kitatokea kwa watoto watakaozaliwa kwa wazazi hao waliopata chanjo? Tatizo tunaweka siasa mbele. Pia tunaangalia nani kasema. Muda mwingine Mungu anaweza kumtumia huyo mnayemzalau kuwaletea ujumbe na mkaukataa.
Nina mfano ulionikuta mwenyewe tarehe 10/07/2021 nilisimamishwa na ofisa wa usalama barabarani akanipiga faini ya kutovaa mkanda lakini pia akaongea maneno kadhaa nikaondoka kwenda ninakoenda lakini njiani pia kuna mtu nilimchukua alikaa siti ya nyuma na watoto wangu
Kilomita kadhaa tulipata ajali na yule mtu niliyemchukua aliwashikilia watoto wangu muda ajali inatokea. Nilipokuwa nikitafakari ndipo nilipoambiwa kuwa yule ofisa wa usalama barabarani alipewa neno kuniambia mimi kwa sababu mbele kulikuwa kunaenda kutokea ajali. Vile nimefundishwa kusikia sauti ya Mungu sikupuuza na nikawa salama.
Kikubwa tusipuuze tunayombiwa ila ukweli anaujua Mungu kama una mashaka nenda akuoneshe ukweli ni upi maana maneno yamekuwa mengi hata muda mwingine tunakosa utulivu wa kuyachambua na kupata majibu sahihi kabisa. Hivi watu mnapolumbana huku wengine walishapewaga majibu hata kabla chanjo haijafika kama kuna madhara au laa. Nasema hayo kwa sababu mimi mwenyewe nilishapewa majibu ya hiyo chanjo.
Ushauli wangu ni kwamba usiweke tumaini lako kwa mwanadamu maana mwanadamu atakufa atakuacha na shida zako.
 
Back
Top Bottom