johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Gwajima anataka kutumikia MABWANA wawili. Siasa ni mchezo mchafu, haoni kuwa akichafuliwa anakuwa anemchafua YESU wake?
Kama mbowe anavyowaendesha ChademaYAANI HUYU JAMAA KAMA AMEWALOGA VILE WAUMINI WAKE.. .
ANAWAPELEKA VYOVYOTE ANAVYOTAKA.. . .
ANAGEUZA GEUZA KAMA CHAPATI.. .
AmenMUNGU mbariki mtumishi wako gwajima
Kama mbowe anavyowaendesha Chadema
Ni sawa ana wajibu wake kiroho huko kanisani kwake lakini yeye ni mtanzania ana haki sawa na watanzania wengine.Aache utapeli, naona sasa anapeleka siasa kanisani na waumini wake watakuwa wanamshangilia kama kawaida yao.
Mbona wale wakina Petro, Paulo, Mathayo, Luka na wengine wao hawakujigeuza ...