Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Hakuna majuto kwa Mch. Gwajima. Nakupa uhakika mmoja, nao ni huu, kuwa, kama waziri na naibu wake wataendelea kuwepo ktk nafasi zao hadi mwezi November, ni PM nikupe zawadi...
Tumetunza record mkuu... Tunasubiri November utabiri utimie