Hizo chanjo utazinywa na mashoga wenzio.
Watanzania wamesema hawazihitaji.
Kwa sasa wako bize wanachapa kazi [emoji818][emoji818][emoji818]
mzee una uhakika?Baada ya miaka 5 tutakuwa na wanajeshi mashoga kama hii chanjo itatumiwa na wanajeshi wetu
Hapo sio swala la Elimu, ni swala la kutumia akili ulizopewa na Mungu
ngoja nimfuatilieKuna jamaa anaitwaStephen harmonwa huko LA marekani na yeye alikuwa kama huyo mchungaji na mwishoweCorona + pneumonia, havikumuacha salama
Mbambikaji siutuambie weweGaidi mbowe anapelekwa lini mahakamani?
Time my friend, time is a good teacher. Kasome kuhusu Tuskegee project.Elimu yako tafadhali. Umebobea kwenye nini mkuu?
View attachment 1868717
Kumbuka ujinga ni mzigo ambao kama ulivyo mzigo wa kuni nao hubebwa vichwani 😂😂😂😂😂!
amewahi kukutapeli?Yaani Litapeli unaliita Baba!
Mbona hili tapeli halikatai nguo zilizoletwa na wazungu litembee uchi?
Jibu swali kama ni mtu mzima kwa kujadili hoja kwa manufaa ya wengi. Elimu yako tafadhaliWewe pia tukuulize una kiwango gani cha Elimu? Kwa nini Elimu yako haikupi kushtuka kuona chanjo isiyokubalika Amerika, Canada, ulaya na aftika ya kusini ndio tupewe sisi!
Mkuu covid 19 inasambaa hewani ni hatari sana kulinganisha na aids au maradhi mengine. Ugonjwa unaoweza kusambazwa na mtu mmoja anayepanda ndani ya basi na akawaambukiza watu elfu moja ndani ya siku moja ni wa hatari kuliko maelezo.Kabla ya huu ugonjwa hao ndugu na rafiki walikuwa hawafi?
Hahahahaaaaaaa......Narudia tena dunya wewe kama babaako ni shoga na kakufundisha nawe uwe shoga usidhani kila mtu anafanya huo upumbavu. Rudini kijijini mkalime badala ya kuendelea kuvalishwa kanga mjini na kupakwa poda.
Mwambie kabisa anakazania akili kapewa na mungu na bado anahangaika kutumia vitu vya wengine badala atengeneze kwa akili alizopewaMbona hamjengi maghorofa au madaraja kwa kutumia akili mlizopewa na Mungu?
Hahahahaaaaaaa......
Dalali utapata tabu sana na machanjo yako hayo!
Yakichacha sijui utaambia nini mabeberu!
Hahahahaaaaaaa....Tupia kanga kiunoni kisha ujisilibe poda ná rangi ya mdomo wateja wako wanakungoja. Dunya wewe!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anarudisha misukule ni kweli mzeeWatanzania tunapenda sana kusikiliza matapeli na watu wasiojua vitu . Yaani mtu askofu fake anayedai kufufua watu tunamsikiliza badala ya wataalamu halafu mnaulizaga maswali hapa kwanini sisi ni masikini?[emoji848]
Hahahahaaaaaaa....
Nasikia wamekudunga chanjo matakoni!
Vipi unajisikiaje hapo nyuma?
Nireteeni gwajima
Kwenye hili la chanjo kama ndilo unaloliongelea ni suala la kitafiti/kisayansi na kama mtu akichangia walau awe within scientific parameters. Otherwise, hata ukitoa maoni yanakuwa hayana maana kwani unakuwa huna justification au basis yoyote. Kwa mfano, ukisema chanjo siyo salama na ukawa na wasiwasi juu ya ubora wake, at least uwe umeshafanya utafiti zaidi ya ule wa wataalamu wa afya serikalini ili tupime kati ya utafiti wako na wa wataalamu wa afya upi umetumia methodolojia gani hadi kufikia hitimisho la kusema a) chanjo hii ni salama na haina madhara au b) chanjo hii si salama na ina madhara ABC. Nje ya hapo mimi siwezi hata kusikiliza hayo maoni maana naona kama mtu anayatoa kujifurahisha tu.Kuna watu wanawashambulia Gwajima na Ndugai ila wao kama sehemu ya Bunge wanatakiwa kupingana na rais bila kuvunja katiba ya nchi.
Lazima tujifunze kuwa na mawazo huru hoja ya Gwajima ila mashiko inatakiwa kujibiwa kwa hoja
Waziri wa Afya aliwaaminisha watu ujinga leo amegeuka anatakiwa kujibu hoja za chanjo kwa undani zaidi ili watu waondoe shaka.
Hoja ya Ndugai pamoja na kuwa sikubaliani naye ila ana haki ya kutoa maoni yake.
Mimi napingana na Mwigulu kubishana na Rais maana yeye ni sehemu ya Serikali ila Gwajima na Ndugai sina sida nao.
mzee Gwajima anarudisha hadi misukuleKwa kuwa Babaako ni boga kakufundisha nawe uwe boga ili mjiuze pamoja usidhani kila mtu anafanya huo ujinga dunya wewe!
Eti Gwajima mtumishi wa Mungu!!! Mungu yupi ZWAZWA wewe! Dikteta Magufuli!?