Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Uache kufakamia machanjo usoyajua utaoza kundu hilo nyau wee!Kwa kuwa babaako wanamdunga matakoni akakufundisha wakadunge unadhani ni kila mtu? Wahi wateja wako wakakufanye KITOWEO dunya wewe!
mzee Gwajima anarudisha hadi misukule
Uache kufakamia machanjo usoyajua utaoza kundu hilo nyau wee!
Unabong'oa na kudungwa michanjo hovyo hovyo huogopi?
Vipi, walikuingizia lile jiti la kichina au walikupimaje?
Hahahaau[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sawa bwana angeurudisha wa mwendazake kwa mara ya kwanza ningepingana naye hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3] just jokes mzee hahah[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ule wa dhalimu mwendazake anaurudisha lini?
Kinadharia hilo linawezekana ila hawa Watanzania siyo wa kuikabili serikali na vyombo vyake. DNA yetu haina ujasiri huo hata watufanyie nini. Huo ndiyo ukweli, sorry!
Hahahaau[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sawa bwana angeurudisha wa mwendazake kwa mara ya kwanza ningepingana naye hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3] just jokes mzee hahah[emoji3][emoji3]
Huyu Gwajima ndiye mfadhili wa Sukuma Gang,kundi ambalo limejiapiza kumharibia Mama Samia. Kijembe hiki anakielekeza kwa Samia,na pia kwenye suala la chanjo anamtuhumu Mh. Rais kuwa amevuta mshiko ili kuruhusu chanjo ya Corona,huyu ni mtu hatari sana.Mbunge wa bunge la JMT kupitia jimbo la Kawe mh Josephat Gwajima amesema ni balaa kubwa kuchagua Kigeugeu kuwa kiongozi katika jambo lolote lile.
Mkiwa na Kiongozi anayebadilikabadilika kulingana na maslahi yake binafsi basi mjihesabu " mmekwisha" maana yeye anaijua kesho yake tu na siyo kesho yenu, amesema.
MAGUFURI ALIWAJAZA UJINGA.Kwa hiyo unaenda kuchanja ili kumkomoa magufuli?
Huko US na Uk watu wanaokataa chanjo nao walimsikiliza Magufuli?
Ujinga mtupu.Si riziki wewe nΓ‘ babaako kwa kuwa wahuni wameshaharibu sasa mnavaa pampers. Ukipita kitaa watu wanashika pua zao kwa jinsi unavyonuka kinyesi. Rudi ukalime kijijini maisha ya mjini huyawezi dunya wewe!!
Unataka kumfanyia nini?Nireteeni gwajimaaaaa
HahahaUnataka kumfanyia nini?
ah aha ha
Huyu ni chiziMbunge wa bunge la JMT kupitia jimbo la Kawe mh Josephat Gwajima amesema ni balaa kubwa kuchagua Kigeugeu kuwa kiongozi katika jambo lolote lile.
Mkiwa na Kiongozi anayebadilikabadilika kulingana na maslahi yake binafsi basi mjihesabu " mmekwisha" maana yeye anaijua kesho yake tu na siyo kesho yenu, amesema.
Umenena vyema mkuuHuyo amesha jijua atakuwa mbuge wa kipindi kimoja tu ndio maana unamuona kelele nyingi.
Na pili mtu mwenye akili timamu unaweza kumsikiliza huyu jamaa hana anacho jua zaidi ya porojo tu nyingi.
Well educated than your entire family. Nenda telegram ka join group linaitwa LA QUINTA COLUMNA utapata information kibao kuhusiana na hizo chanjo...na sio group la waswahili ni hao hao wazungu mnao waamini na kuwaabudu.
Usitumie vibaya jina la Mkombozi wa Dunia. Swali..begani hauna kovu ya chanjo ya ndui?!Safi sana gwajima!! Hawa wachumia tumbo wanafiki wakubwa!! Wanatudanganya tuchanjwe na kuvaa barakoa, wavae wao na familia zao sisi tuna jina la Yesu lipitalo majina yote
hahaaaaaa alisambaza usalama kila kona.alijiona yeye ndo yeye kuna mtu alisema Mungu amshukuru magufuli kwa aliyoyafanya.akafuta uchaguzi mkuu wabunge wote wa chadema akafukuza akateka watu akapiga risasi wapinzani.leo mdude yupo huru nje bora tuongozwe na mwanamkeHahahahaha Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu sala za Watanzania wengi amchukue yule dhalimu akazisikiliza na kuzifanyia kazi. Pamoja na ulinzi wake wa kutisha hawakuweza kufua dafu. Chaliiii!