#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Ulichoandika hapa ni UONGO MTUPU! 99% ya wanaokufa ni wale ambao hawajapata chanjo ná 97% ya wanaolazwa ni wale

Wanaokufa wamechoma mrna vaccine ni maelfu huko marekani lakini media za mabeberu hawatangazi japo kwa uchache mnooo
Sio kweli.......Wanaokufa wapo wengi tu kwasababu ya vaccine...na nikupe data tu hiyo j&j haina uwezo wa kuzuia delta virus...inaweza kuzuia wimbi la kwanza tu....
 
Acha UPOTOSHAJI wa kile usichokijua.
 
97% ya wanaolazwa ni wale

Wanaokufa wamechoma mrna vaccine ni maelfu huko marekani lakini media za mabeberu hawatangazi japo kwa uchache mnooo
sijakupata rafiki hapa nielimishe

Nimepata toka attachment yako, asante sana
In June, more than 9 out of 10 Americans, or 99.2 percent, of those who died from COVID-19 had not gotten vaccinated.

In Maryland, 100 percent of patients diagnosed with COVID-19 who died were not vaccinated, with 93 percent of those with new cases or those being hospitalized also are unvaccinated, The Washington Post reported.
 
Reactions: BAK
Kabisaa kwenye hizi chanjo mbona wakubwa hawaonyeshi Live wakichoma.

Kwakweli ngoja tuone huu mtanange wa Mbowe Lipumba na wale walio tuletea Chanjo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
kwamba wote watakuwa mapunga au?
 
Gwajima au wewe mmefanya utafiti upi wa kisayansi kama siyo porojo tu? Unapotilia mashaka jambo fulani la kitaalamu, lazima walau uwe umeshalifanyia kazi. Mfano, chanjo iliyoletwa hapa Tanzania na serikali ikakubali kwamba ni salama na wewe na Gwajima mnakataa, si walau mngeonyesha huo utafiti wenu ili kukataa kwenu kuwe na justification? Maoni tu ambayo yako nje ya mada kama haya ya kwako na ya Gwajima hayana substance.
 
Imekuingia mpaka mwisho siyo kwa povu hili.
 
Acha UPOTOSHAJI wewe unataka kumpinga mtu anayekusanya takwimu za wanaolazwa ná kufa kwa COVID-19!? Watu kama wewe ni hatari sana ni hasara kubwa Kwa Taifa. Ulichoandika ni UONGO MTUPU!!!
Sio kweli.......Wanaokufa wapo wengi tu kwasababu ya vaccine...na nikupe data tu hiyo j&j haina uwezo wa kuzuia delta virus...inaweza kuzuia wimbi la kwanza tu....
 
Waswahili wanasema kenge hasikii mpaka damu imtoke masikioni. Huyu kenge hadi afe ndipo hao wajinga wenzake watakapoelewa kuwa covid siyo ya kufanyia mzaha.
Wwe inaonekana unaogopa sana kifo, usiogope sana kifo, maana kuna Watu wanalala tu wakiwa wazima wa afya na kifo kinawakuta usingizini! Kifo hakikwepeki ndg muda wowote kikikufika huna ujanja hata Kama umezungukwa na ma Dakitari Bora wa Dunia,utakwenda tu kwa Sir God bila ubishi!!
 
Hutu gwajima siyo mchungaji kabisa kwanz ziasa haimfai

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama gwajima anaupotosha uma kwa kutumia uongozi wake nao watumie uongozi wao kuuelimisha uma kuhusu chamjo sio kumponda mchungaji wa Mungu MB. Gwajima.
 
Rais mwenyewe pamoja na PM mara zote wakizungumzia hizi chanjo wanasema ni HIARI.

Kwa lugha nyingine wanatambua uwepo wa watu wenye mitazamo kama Gwajima juu ya hizi chanjo.

Ni chanjo ipi nyingine umewahi kusikia neno HIARI linapewa kipaumbele kila inapozungumziwa na kiongozi wa nchi?

Mbona wanajihami sana kwenye hili!

Wanaosimama upande wa chanjo waende wakachanjwe na walio against pia waachwe waongee.

Shida ipo wapi kama chanjo yenyewe ni HIARI?
 


Second hiyo J&J yenu haiwezi zuia delta variant

Kutoka kwenye mtandao wa jarida la Forbes



Sign In

Subscribe

BREAKING|Jul 20, 2021,07:34pm EDT|271,882 views

Johnson & Johnson Vaccine Far Less Effective Against Delta Variant, Study Suggests

[https://thumbor-forbes-com]

Nicholas Reimann

Forbes Staff

Business

I'm a news reporter for Forbes, primarily covering the U.S. South.



Updated Jul 21, 2021, 07:13pm EDT

TOPLINE



A study from a team of New York University researchers found the one-shot Johnson & Johnson vaccine is far less effective at preventing coronavirus infections from the Delta variant and other mutated forms of the virus than from earlier strains, a concerning find since the Delta variant now accounts for almost all U.S. Covid-19 cases.



In this photo illustration a Johnson & Johnson[+]

SOPA IMAGES/LIGHTROCKET VIA GETTY IMAGES

KEY FACTS

The study, which has not been peer reviewed, was based on tests conducted on blood samples drawn from people who have received the three coronavirus vaccines approved for use in the U.S..

According to the New York Times, the findings are consistent with earlier reviews of the similar AstraZeneca vaccine’s performance against the Delta variant, which found around a 33% efficacy rate.

Clinical trials put the J&J vaccine’s efficacy at around 66% against the original coronavirus strain, while the two-shot Pfizer and Moderna vaccines were more than 90% effective.

CDC Director Dr. Rochelle Walensky said Tuesday the Delta variant now makes up around 83% of all Covid cases in the United States.

The findings from the NYU studies contradict earlier, smaller studies published by Johnson & Johnson, which suggested the vaccine was effective against Delta and other new variants.

WHAT TO WATCH FOR

The study’s authors suggested J&J recipients might require booster shots for better protection against the Delta variant, but public health officials are not recommending boosters for any vaccines at this time.

BIG NUMBER

More than 13 million. That’s how many Americans received the single-dose Johnson & Johnson shot, according to the CDC. The number actually represents just a small slice of around 161.5 million Americans who have been fully vaccinated.

KEY BACKGROUND

Rising cases, hospitalizations and deaths across the U.S. are fueling concerns about another major Covid spike. Numerous cities and localities are now urging all residents to wear masks in public again, even if they’ve been fully vaccinated, while a stock market plunge on Monday was largely attributed to worries over the Delta variant. The vast majority of those impacted have not been vaccinated, though, leading Walensky to say last week: “This is becoming a pandemic of the unvaccinated.”

TANGENT

The Johnson & Johnson vaccine has had several reports of problems since it received approval in February. In April, the federal government recommended a 10-day pause on Johnson & Johnson vaccinations while it investigated links to a serious blood clotting issue. Another problem came up earlier this month, when it was reported the vaccine could raise the risk of a neurological disorder called Guillain–Barre syndrome. Instances of both Guillain–Barre syndrome and blood clotting after the J&J vaccine have been extremely rare, but the issues have been enough to lower public confidence in the vaccine compared to the other shots available in the United States.

FURTHER READING

One Dose of J.&J. Vaccine Is Ineffective Against Delta, Study Suggests (The New York Times)

Miami The Latest City Tightening Covid Guidelines—See Full List (Forbes)

Johnson & Johnson Vaccine Could Raise Risk For Rare Neurological Disorder, FDA To Warn (Forbes)

FDA And CDC Recommend Resuming Johnson & Johnson Vaccine For All U.S. Adults After Committee Vote (Forbes)

Full coverage and live updates on the Coronavirus

Get the best of Forbes to your inbox with the latest insights from experts across the globe.

Follow me on Twitter. Send me a secure tip.

Nicholas Reimann

I'm a New Orleans-based news reporter for Forbes covering the U.S. South and breaking news. Previously, I wrote for The Times-Picayune | The New Orleans Advocate covering

…Read More

CorrectionsReprints & Permissions

Loading ...

More From Forbes

Pittsburgh Pirates Knew They Weren’t Going To Get Elite Prospects For Adam Frazier

Outsmarted By China, Not Protected By Biden, Retail Takes A Hit

Only 15 Of 130 FBS Teams Will Not Play An FCS Team During 2021 College Football Season

Brands Are Invading Your Favorite Streaming Shows And Movies, Whether You Realize It Or Not

Carbon-Neutral LNG: Another Reason Why Natural Gas Could Win “The Energy Transition”

Nascar Free Agent Profile: Kurt Busch A Potential Coup For Upstart Teams

Meet The Youngest Olympians Competing At The Tokyo Games

See Skateboarders And Surfers Make Their Olympic Debut In Tokyo (Photos)

[emoji2398] 2021 Forbes Media LLC. All Rights Reserved.

AdChoices

Privacy Statement

Do Not Sell My Info

Terms and Conditions

Contact Us

Report a Security Issue

Jobs At Forbes

Reprints & Permissions

Forbes Press Room

Advertise
 
Na hao mnaosema ni salama mna uhakika gani kwamba ni salama?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…