#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

samahani naomba kuuliza, ikiwa mimi sijachoma na sina mpango wa kuchoma hizo chanjo je nikifamiliana na dem ambaye amechoma hizo MRNA vaccine kutakuwa na effect yoyote kwangu? naomba nielimishwe mapema juu ya hili
 
Chanjo ni hiari. Izingatiwe kuwa, binadamu tunazidi kuongezeka duniani. Inabidi wengine wapungue kiaina. Ile kauli "tutabanana hapahapa" imepitwa na wakati
 
Anza wewe uchanjwe na familia tuone madhar au faida y hiyo chanjo sio unatushawishi baada ya kuhongwa na mabeberu
 
Rudisha pesa za corona kwa wenyewe zitakuponza
 
Anza wewe uchanjwe na familia tuone madhar au faida y hiyo chanjo sio unatushawishi baada ya kuhongwa na mabeberu
Sawa mkuu nitaanza kwani si lazima kuchanjwa....ni hiyari....

Ila......

Tuuseme ujinga wa GWAJIMA....ujinga wake wa "kuzusha" uongo kiimani bila ya USHAHIDI WA KISAYANSI NA KITAFITI.....

Kwani Gwajima amefanya TAFITI?!!

Ama ameoteshwa?!!
Mbona haoteshwi dawa ya UKIMWI ilihali alisema kuwa YEYE NI MTU WA MBINGUNI NA UGONJWA WA UVIKO HAUTOINGIA TANZANIA!!

Kama aliwadanganya WAJINGA kuhusu hilo ,ni vipi tena WAMUAMINI kwa hili ?!??

#GwajimaAacheHadaaKoko
#GwajimaAacheUnabiiWaKiganga

#NchiKwanza
#JMTKwanza
#ChanjoMuhimu
#KaziIendelee
 
samahani naomba kuuliza, ikiwa mimi sijachoma na sina mpango wa kuchoma hizo chanjo je nikifamiliana na dem ambaye amechoma hizo MRNA vaccine kutakuwa na effect yoyote kwangu? naomba nielimishwe mapema juu ya hili
Kusema kweli mimi bado siwezi kukupa majibu ya moja kwa moja lakin kama hiyo Mrna vaccines itakua na shida au haifai lazima kuna possibility ya kumuathiri hata mtoto atakayezaliwa hapo nimezungumzia ikiwa hiyo mrna vaccine itakua sio safe...maana mpaka sasa haziwa approved zinatumika kama an emergency tu
 
Nipo na gwajima, hizi chanjo hazifai
Nashauri zitumike kuwachoma vijana wa bavicha tu, kwa kuwa hawana umuhimu wowote ule
Hapana hizo chanjo wakawachome makada wa CCM wote na viherehere vyao kuhongwa na mabeberu ili tutolewe kafara
 
Hata mimi nisingetarajia maajab ya dr Fauci ambaye ni pro bilgate na huyu amekua promoter wa chanjo za bilgate na ni mtu wa bilgate kwani ulitarajia atazisema vibaya chanjo za kina bilgate za mrna?subutu!!!

Dr fauci wanashirikiana na bilgate toka mwanzo broo kwahiyo usitarajie dr fauci kutoa takwimu za kweli za kuziponda hizo kampuni za chanjo...

Soma hicho kitabu hapo[emoji1313][emoji1313]View attachment 1869376
 
Na usisahau dr fauci yeye mwenyewe ana share kwenye kampuni za chanjo kainvest mamilioni ya dola sasa unatarajia ataongea ukweli ili aharibu biashara yake?
Fact-check: Does Anthony Fauci have millions invested in a coronavirus vaccine?

By Daniel Funke, PolitiFact.com

Posted Ap


[https://www-statesman-com]Dr. Anthony Fauci, director of the National Institute of Allergy and Infectious Diseases, speaks March 31 about the coronavirus in the James Brady Press Briefing Room of the White House. [Alex Brandon/The Associated Press]▲

This piece was originally published on PolitiFact.com on April 15, 2020.

The country's top infectious disease expert is discouraging the use of a potential COVID-19 treatment because he could earn millions of dollars from a vaccine, at least, that's according to a popular Facebook claim.

One post published by an anti-vaccine page on Sunday says Dr. Anthony Fauci, director of the National Institute of Allergy and Infectious Diseases, "stands to lose 100 million dollars" on a coronavirus vaccine from Bill Gates because he invested in it.

"If everyone can be healed with the Malaria drug and a Z pack, there will be no need for the vaccine if we could use drugs already on the market that helps heal 98 percent of the cornovirus (sic) patients," reads the image. "That's why he's been so hesitant to put his seal of approval on this form of treatment that has shown to drastically improve hundreds of people's symptoms."

The post was flagged as part of Facebook's efforts to combat false news and misinformation on its News Feed.

As a member of the White House's coronavirus task force, Fauci has tempered expectations for the use of chloroquine or hydroxychloroquine to treat COVID-19 patients. The drugs, which are used to treat conditions like malaria and lupus, have shown some promise in alleviating coronavirus symptoms, but the research is not conclusive.

PolitiFact has seen a lot of misinformation about public officials' financial interests in hydroxychloroquine. Fauci has become a popular target for coronavirus disinformation, so we wanted to check out this post, too.

The Facebook post draws a false connection between Gates' philanthropy and Fauci's public remarks about hydroxychloroquine. There is no evidence that Fauci is personally financially invested in a coronavirus vaccine, and scientists still don't know if hydroxychloroquine is effective in treating COVID-19.

Gates Foundation supports coronavirus research

The Bill and Melinda Gates Foundation is indirectly supporting the National Institute of Allergy and Infectious Diseases by funding a group that is helping the agency develop a potential coronavirus vaccine. But there is no evidence that Fauci himself stands to profit.

The Gates Foundation said in a Feb. 5 statement that it is investing up to $100 million for "the global response to the 2019 novel coronavirus." That includes efforts aimed at improving detection and treatment of the virus in addition to vaccine development.

"The foundation will commit up to $60 million to accelerate the discovery, development and testing of vaccines, treatments and diagnostics for 2019-nCoV (the formal name for the coronavirus)," the statement reads.

While the Gates Foundation has supported the National Institute of Allergy and Infectious Diseases in the past, the philanthropy told PolitiFact in an email that it does not provide funding to the agency now, even though the agency is currently developing a COVID-19 vaccine.

During his March 11 testimony to the House Oversight and Reform Committee, Fauci said it could take a year and a half to roll out a safe and effective coronavirus vaccine. There are 70 vaccines in development, according to the World Health Organization — three of which are in clinical trials.

The first trial began in mid-March. The potential vaccine was developed by National Institute of Allergy and Infectious Diseases scientists in partnership with pharmaceutical company Moderna, Inc. A search of the Securities Exchange Commission's database, which contains information on publicly traded companies, turned up no documents linking Fauci directly to Moderna.

According to a statement from the National Institutes of Health, which houses the National Institute of Allergy and Infectious Diseases, manufacturing for the potential vaccine was supported by the Coalition for Epidemic Preparedness Innovations, a foundation that funds vaccine research. The Gates Foundation said in its February release that it will allocate some of its research and development funding to the coalition.
 
Na ubaya wa MRNA vaccine ni kwamba madhara yake yapo mpaka miaka 20 baadae tofauti na covid vaccines nyingine ambazo hazitengenezwi ktk format ya mrna
Unaonaje ukitoa takwimu za chanjo zenye ahueni zisizofuata kanuni ya MRNA ili tuanze kuzifuatilia kabla hatujalazimishwa kukinga mabega
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wewe kweli taahira unaenda kuokoteza vitu vya kipumbavu vinavyoandikwa na wahuni wa conservative!?




 
hakuna chanjo ilotengenezwa kwa nia mbaya

chanjo zinatengenezwa kwa nia ya kutibu

na kabla hawajaruhusu zitumike huzifanyia majaribio, zinapokutwa hazina sumu na madhara kwa miili ya wanaadam ndipo huruhusiwa zisambazwe na kutumika/kutumiwa.

Vilevile hiyo ni fursa kwa watengenezaji wa chanjo hizo maana huuzwa kwa mataifa mbalimbali, ndo maana kuna makampuni mengi yanayotengeneza chanjo hizo na majina ya chanjo hizo yanatofautiana kulingana na makampuni zinapotengenezewa.

Hivyo msiwe na wasiwasi chanjo zote ni salama kwa matumizi ya wanaadam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…