Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
kesi ya mbowe na gwajima wapi na wapi? gwajima chanjo mbowe ugaidi. kila mtu anabeba msalaba wakeKWA USEMI WA DK GWAJIMA
NAONA MBOWE KIFFOO KINAMNYEMELEA KHA YAAN WANAOSHADADIA WOTEE WANAOJIFANYA ATI WAMEPIGWA CHANJOOOKAZI MNAYOO LIPU...NAE MJIANDAE
Sabaya anaweza kuwa ni best optionNdugu zangu,
Dalili ya mvua ni mawingu, kuna kila dalili kuwa Mbowe muda wake wa Uenyekiti ndani ya CHADEMA unaisha.
Alianza mwenyewe kusema kuwa ataondoka mwaka 2023 lakini sasa msukumo toka ndani ya wahafidhina umeshika kasi.
Ni wakati muafaka sasa kujua wana - Chadema mbadala watakao weza kushika nafasi ya Uenyekiti na kuendesha siasa zenye manufaa mapana ya Taifa.
Mjadala upo wazi, karibuni.
Nenda kapige chanjo .... la utajikuta chini futi sita!!
Sawa, lakini mi tayari nishachanja na wala sijaona hayo madhara!!Acha vitisho wewe dalali uchwara wa chanjo!
Umeandika points ila kwa kuwa sio siasa na wabongo wengi mapapai yao yanaelewa siasa tu hapa huwezi eleweka kabisa1. Janssen imefanyiwa majaribio South Africa na ilionyesha mafanikio makubwa kupambana na South African variant link hii hapa[emoji116]...
Ndo maana akili imefyatuka ... side effect ya chanjo hiyo!Nishandungwa tayari mwezi wa tatu sasa ....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Polisi wachanjwe tena ya kwenye macho
Msanii huyo anadunga glucose kama geresha ili minyumbu kama wewe muingie kichwa kichwa kudungwa kitu OG.Sawa, mama Samia naye kesho atageuka kuwa Msukule wa Mabeberu baada ya Chanjo siyo ......!!?
Mi nimepiga ya Mchina .....!!Msanii huyo anadunga glucose kama geresha ili minyumbu kama wewe muingie kichwa kichwa kudungwa kitu OG.
Hivi walikudunga chanjo gani vile?
Kuna wazee wengine hawajawahi kupata chanjo kabisa na wengine sasahivi wana miaka zaidi ya 80, ila amini utakufa na utawaacha na hiyo chanjo yako😂.Chanjo zote huko nyuma ulizochanjwa au walizochanjwa watoto wako unajua usalama wake?
Nenda kapige chanjo .... la utajikuta chini futi sita!!
Hivi kuandika bila kutukana inakupunguzia nini!?Kuna wazee wengine hawajawahi kupata chanjo kabisa na wengine sasahivi wana miaka zaidi ya 80, ila amini utakufa na utawaacha na hiyo chanjo yako😂.
Kuna hoja nyingine ukisoma inabaki unashangaa tu, mtu anakwambia kachanje au lasivyo utakufa inamaana chanjo ni guarantee ya kutokufa? Wengine nao kila anaekufa wanasema ni CORONA,hao waliowahi kufa huko nyuma kabla ya CORONA kuingia walikuwa wanaigiza?
Acheni upumbavu, namaanisha wewe pamoja na wengine wenye mitazamo kama hiyo.