#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

KWA USEMI WA DK GWAJIMA
NAONA MBOWE KIFFOO KINAMNYEMELEA KHA YAAN WANAOSHADADIA WOTEE WANAOJIFANYA ATI WAMEPIGWA CHANJOOOKAZI MNAYOO LIPU...NAE MJIANDAE
kesi ya mbowe na gwajima wapi na wapi? gwajima chanjo mbowe ugaidi. kila mtu anabeba msalaba wake
 
Ndugu zangu,

Dalili ya mvua ni mawingu, kuna kila dalili kuwa Mbowe muda wake wa Uenyekiti ndani ya CHADEMA unaisha.

Alianza mwenyewe kusema kuwa ataondoka mwaka 2023 lakini sasa msukumo toka ndani ya wahafidhina umeshika kasi.

Ni wakati muafaka sasa kujua wana - Chadema mbadala watakao weza kushika nafasi ya Uenyekiti na kuendesha siasa zenye manufaa mapana ya Taifa.

Mjadala upo wazi, karibuni.
Sabaya anaweza kuwa ni best option
 
1. Janssen imefanyiwa majaribio South Africa na ilionyesha mafanikio makubwa kupambana na South African variant link hii hapa[emoji116]...
Umeandika points ila kwa kuwa sio siasa na wabongo wengi mapapai yao yanaelewa siasa tu hapa huwezi eleweka kabisa
 
Unapokataa wanajeshi wasiwe wa.kwanza kuchanjwa nisawa na vita inapotokea halafu unasema wanajeshi wasisimame mstari wa mbele.
 
Nawasalimu kwa majukumu mbalimbali kwa kila mtanzania. Huyu askofu, gwajima ashukuru . Nchi yetu haina sawa, kwa kile msimamo wake wa kupingana na serikali kuhusu chanjo ya covd-19. Angekua kanda wa upizani tiayari angekua mikononi wa polisi. Kwasababu tu, kanda wa ccm atajitanua sana.
 
Kwanni hii chanjo wasianza na Mawaziri wote pamoja na wabunge?
 
Sawa, mama Samia naye kesho atageuka kuwa Msukule wa Mabeberu baada ya Chanjo siyo ......!!?
Msanii huyo anadunga glucose kama geresha ili minyumbu kama wewe muingie kichwa kichwa kudungwa kitu OG.

Hivi walikudunga chanjo gani vile?
 
Mimi Nebuchadinezzer wa JF, nikiwa na akili zangu timamu, nafanya maamuzi haya bila kushawishiwa na mtu yyte yule.

Sitachanjwa chanjo ya COVID19 yyte ile iwe kutoka USA au Uchina.

Najua Corona ipo, ikinipata nikifa, wewe utapata hasara gani?

"Kila mtu atakufa tu...iwe kwa corona, ukimwi, malaria, Kansa, nk.

#NasimamaNaGwajimaSichanjwi!
 
Chanjo zote huko nyuma ulizochanjwa au walizochanjwa watoto wako unajua usalama wake?

Nenda kapige chanjo .... la utajikuta chini futi sita!!
Kuna wazee wengine hawajawahi kupata chanjo kabisa na wengine sasahivi wana miaka zaidi ya 80, ila amini utakufa na utawaacha na hiyo chanjo yako😂.

Kuna hoja nyingine ukisoma inabaki unashangaa tu, mtu anakwambia kachanje au lasivyo utakufa inamaana chanjo ni guarantee ya kutokufa? Wengine nao kila anaekufa wanasema ni CORONA,hao waliowahi kufa huko nyuma kabla ya CORONA kuingia walikuwa wanaigiza?

Acheni upumbavu, namaanisha wewe pamoja na wengine wenye mitazamo kama hiyo.
 
Gwajima ana hamsha Hali ya Uasi/Mutiny ndani ya Jeshi na Pengine inaweza kwenda Mitaani.

Kuwaletea chanjo Watanzania ni kosa kubwa Mama Amefanya, mitaani ukipita unaona kama vile watu wamempuuza au Hawa mtambui huyu Mama kama ni Rais..

CCM Iingilie Kati.
 
Sisi Tozo zinatosha ..wapelekewe Wabunge na Viongozi wote.Sisi wawakilishi wao tuwaangalie
 
Kuna wazee wengine hawajawahi kupata chanjo kabisa na wengine sasahivi wana miaka zaidi ya 80, ila amini utakufa na utawaacha na hiyo chanjo yako😂.

Kuna hoja nyingine ukisoma inabaki unashangaa tu, mtu anakwambia kachanje au lasivyo utakufa inamaana chanjo ni guarantee ya kutokufa? Wengine nao kila anaekufa wanasema ni CORONA,hao waliowahi kufa huko nyuma kabla ya CORONA kuingia walikuwa wanaigiza?

Acheni upumbavu, namaanisha wewe pamoja na wengine wenye mitazamo kama hiyo.
Hivi kuandika bila kutukana inakupunguzia nini!?
 
Back
Top Bottom