Polepole aliyasema haya haya akisisitiza MUNGU wa Mbinguni akapotea/ labda ameshauawa. Munhu nisaidie na wewe pia juhudi zakoAskofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amesema ataendelea kushiriki ibada kanisani hapo kila Jumapili bila woga wowote, akisisitiza kuwa hawezi kuepuka kusimama hadharani kwa sababu ya vitisho au hofu.
Akizungumza katika ibada ya mwaka mpya iliyofanyika usiku wa kuamkia Januari 1, 2026, Gwajima amesema alipokea jumbe nyingi kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo wanaojiita manabii, mitume na maaskofu wakimtahadharisha kutojitokeza hadharani, lakini aliamua kupuuza ushauri huo.
Amesema ujasiri haumaanishi kukosa hofu, bali ni kuelewa kusudi la mtu duniani, akiongeza kuwa yeye anajua kilichomleta duniani na hawezi kuyumbishwa katika kusimama kwake kwenye imani.
Gwajima amekumbusha msimamo wake wakati wa janga la UVIKO-19 (Corona), akieleza kuwa wakati wengine walikuwa na hofu, kanisa lake liliendelea na ibada na hata kujenga jengo la ghorofa kadhaa, jambo alilolitaja kama ushuhuda wa imani isiyotetereka.
Askofu Gwajima amesisitiza kuwa yuko tayari kufuatwa kokote atakakokwenda kwani hana hofu juu ya usalama wake, akionesha imani kuwa yuko salama.
Gwajima knows na amejipanga kuliko pole polePolepole aliyasema haya haya akisisitiza MUNGU wa Mbinguni akapotea/ labda ameshauawa. Munhu nisaidie na wewe pia juhudi zako
Lest it be part of the wider strategy.Gwajima knows na amejipanga kuliko pole pole
Kama angekuwa mzembe tusingekuwa nae leo
Tunapaswa kukubali kitu kimoja: as human beings, we will die no matter what!Polepole aliyasema haya haya akisisitiza MUNGU wa Mbinguni akapotea/ labda ameshauawa. Munhu nisaidie na wewe pia juhudi zako
Kwani kuna mtu anamtafuta?Gwajima knows na amejipanga kuliko pole pole
Kama angekuwa mzembe tusingekuwa nae leo
Courage does not mean absence of fearAskofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amesema ataendelea kushiriki ibada kanisani hapo kila Jumapili bila woga wowote, akisisitiza kuwa hawezi kuepuka kusimama hadharani kwa sababu ya vitisho au hofu.
Akizungumza katika ibada ya mwaka mpya iliyofanyika usiku wa kuamkia Januari 1, 2026, Gwajima amesema alipokea jumbe nyingi kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo wanaojiita manabii, mitume na maaskofu wakimtahadharisha kutojitokeza hadharani, lakini aliamua kupuuza ushauri huo.
Amesema ujasiri haumaanishi kukosa hofu, bali ni kuelewa kusudi la mtu duniani, akiongeza kuwa yeye anajua kilichomleta duniani na hawezi kuyumbishwa katika kusimama kwake kwenye imani.
Gwajima amekumbusha msimamo wake wakati wa janga la UVIKO-19 (Corona), akieleza kuwa wakati wengine walikuwa na hofu, kanisa lake liliendelea na ibada na hata kujenga jengo la ghorofa kadhaa, jambo alilolitaja kama ushuhuda wa imani isiyotetereka.
Askofu Gwajima amesisitiza kuwa yuko tayari kufuatwa kokote atakakokwenda kwani hana hofu juu ya usalama wake, akionesha imani kuwa yuko salama.
Ila ni kweli maana Gwajiboy ni MwanaumeHuyu jamaa akili kubw asee. Lazma tubalance life. Kipind cha Bashite aliuwasha na sasa anauwasha. Huyu ni baba wa Karne
Wazo jema, silikatai! But.... Ndiyo maana tuna fake names humu, kuweka tahadhali ya maisha yetu!Tunapaswa kukubali kitu kimoja: as human beings, we will die no matter what!
That’s said, kipi bora: kufa katika vita vya haki au kufa kihasara hasara tu? Ukikwepa kufa katika vita, utakufa kwa sababu nyingine yoyote. Regardless of your choices, there can be no guarantee of life!
Kama ndo hivyo kilicho kuwa kimemuweka mafichoni muda wote huo ni kitu gani?Tunapaswa kukubali kitu kimoja: as human beings, we will die no matter what!
That’s said, kipi bora: kufa katika vita vya haki au kufa kihasara hasara tu? Ukikwepa kufa katika vita, utakufa kwa sababu nyingine yoyote. Regardless of your choices, there can be no guarantee of life!
Tunakwepa usumbufu tu, sio kifo!Wazo jema, silikatai! But.... Ndiyo maana tuna fake names humu, kuweka tahadhali ya maisha yetu!
Ni kuepuka harassment ya Serikali dhalimu, sio kuogopa kufa per se!Kama ndo hivyo kilicho kuwa kimemuweka mafichoni muda wote huo ni kitu gani?
Ukiona anasema hivyo jua amepewa hakikisho la usalama wake kutoka kwa wakuu na si vinginevyo.
Kwahiyo sasa hivi serikali aliyo ikimbia mwanzo imebadilika?Ni kuepuka harassment ya Serikali dhalimu, sio kuogopa kufa per se!