Askofu Gwajima: Nilipokea ujumbe wakunitaka nisije! Nitakuwepo kila Jumapili

Askofu Gwajima: Nilipokea ujumbe wakunitaka nisije! Nitakuwepo kila Jumapili

Lest it be part of the wider strategy.

Tangu Gwajima ajifiche hadi leo ni kitu gani kimebadilika? Waliosababisha ajifiche si ndio watawala hadi leo!

Nitashangaa kama Gwajima hatakuwa mmoja wa wajumbe wa hiyo tume ya maridhiano itakayoundwa.
Hili la ujumbe wa tume hata mimi nilishafikiria. Samia anahitaji watu kama Gwajima kuliko wakati mwingine wowote. Tuombe Mungu uzima, hata mimi sidhani kuwa amejitokeza hivi hivi. Huenda kuna mazungumzo yamefanyika chini kwa chini na yeye kuhakikishiwa usalama wake na pengine ameombwa kuokoa jahazi. Hiyo tume ya maridhiano mpaka sasa imekuwa ngumu kuunda kwa sababu CHADEMA ya sasa ina viongozi wenye msimamo na ndiyo part muhimu sana kwenye kusonga mbele.
 
Kwahiyo sasa hivi serikali aliyo ikimbia mwanzo imebadilika?
Hali ya sasa hivi na wakati alipokimbia ni tofauti. Huyu angezubaa sasa hivi tungekuwa tunazungumza kama tunavyozungumza kuhusu Polepole. Samia anamuhitaji sana Gwajima ili kuweza kufanya ulaghai wa maridhiano.
 
Nitashangaa kama Gwajima hatakuwa mmoja wa wajumbe wa hiyo tume ya maridhiano itakayoundwa.
Nitahesabiwa paamoja na wewe.

Samia kaamua kuufanya ulaghai kuwa sehemu muhimu ya maisha ya kawaida ya waTanzania.

Hayo "maridhiano" utaridhiana na mtu mwovu kwa njia zipi hasa; tena yeye mwenyewe ndiye akiwa anasimamia zoezi zima la kuridhiana!
 
Huyu msimwamini sana kwani ni mbuzi aliyevunja wigo wa boma na kukimbilia porini kujifanya swala. Wana makubaliano kati Yao ya kutuliza yaliyotokea kwani mauaji yalianzia hapo kanisani kwake. Mwachieni vita yake isiyo na matokeo zaidi ya maokoto!
 
Back
Top Bottom