macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Hili la ujumbe wa tume hata mimi nilishafikiria. Samia anahitaji watu kama Gwajima kuliko wakati mwingine wowote. Tuombe Mungu uzima, hata mimi sidhani kuwa amejitokeza hivi hivi. Huenda kuna mazungumzo yamefanyika chini kwa chini na yeye kuhakikishiwa usalama wake na pengine ameombwa kuokoa jahazi. Hiyo tume ya maridhiano mpaka sasa imekuwa ngumu kuunda kwa sababu CHADEMA ya sasa ina viongozi wenye msimamo na ndiyo part muhimu sana kwenye kusonga mbele.Lest it be part of the wider strategy.
Tangu Gwajima ajifiche hadi leo ni kitu gani kimebadilika? Waliosababisha ajifiche si ndio watawala hadi leo!
Nitashangaa kama Gwajima hatakuwa mmoja wa wajumbe wa hiyo tume ya maridhiano itakayoundwa.
Ukijibiwa hapo ni tagKama ndo hivyo kilicho kuwa kimemuweka mafichoni muda wote huo ni kitu gani?
Hali ya sasa hivi na wakati alipokimbia ni tofauti. Huyu angezubaa sasa hivi tungekuwa tunazungumza kama tunavyozungumza kuhusu Polepole. Samia anamuhitaji sana Gwajima ili kuweza kufanya ulaghai wa maridhiano.Kwahiyo sasa hivi serikali aliyo ikimbia mwanzo imebadilika?
Imewaambia police waache kumtafuta! Hukusikia hilo agizo?Kwahiyo sasa hivi serikali aliyo ikimbia mwanzo imebadilika?
Nitahesabiwa paamoja na wewe.Nitashangaa kama Gwajima hatakuwa mmoja wa wajumbe wa hiyo tume ya maridhiano itakayoundwa.
Na alimuonya Lissu kabla hajapigwa risasiGwajima knows na amejipanga kuliko pole pole
Kama angekuwa mzembe tusingekuwa nae leo