johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mudhihir Mudhihir, yule mbunge mstaafu wa Mchinga ambaye pia ni mshairi maarufu, aliwahi kusema kuwa kondoo wa manyoya muda wake wa kunyolewa ukifika huzizima. Hapo kondoo wa manyoya anazizima. Anajua alivyowatukana waislamu alipokuwa hajagundua kama angegombea ubunge. Leo anawafanyia utoto wa 'sugar coating', dharau.Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.
Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.
Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.
Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.
Maendeleo hayana vyama!
Gwajima anatema madini Channel ten muda huu!
Na wewe kamtukane mumeoGwajima ndiye mbunge wa kawe
Yule mama bingwa wa matusi akatukane famila yake
Maji ni uhai tena msikitini maji hutumika kutawadha kabla ya ibada.Mudhihir Mudhihir, yule mbunge mstaafu wa Mchinga ambaye pia ni mshairi maarufu, aliwahi kusema kuwa kondoo wa manyoya muda wake wa kunyolewa ukifika huzizima. Hapo kondoo wa manyoya anazizima. Anajua alivyowatukana waislamu alipokuwa hajagundua kama angegombea ubunge. Leo anawafanyia utoto wa 'sugar coating', dharau.
Maji ni uhai tena msikitini maji hutumika kutawadha kabla ya ibada.
Gwajima ametenda jambo jema Salasala na Makuti
Mkuu Gwajboy wa pale Ubungo na aliyejiita Rashid au Gwajboy yupi?Maji ni uhai tena msikitini maji hutumika kutawadha kabla ya ibada.
Gwajima ametenda jambo jema Salasala na Makuti
Huyu jamaa mbona kakomaa na waislamu namna hii??Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.
Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.
Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.
Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.
Maendeleo hayana vyama!
Askofu Rashid atapigiwa kura na wakorintho wa kawa kama wapo ila wanakawe tupo na halimaAskofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.
Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.
Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.
Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.
Maendeleo hayana vyama
Si ili akiibadilisha kuwa Sunday school asipate taabu ya kuvuta majiAskofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.
Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.
Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.
Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio wengi jimboni kwake!Huyu jamaa mbona kakomaa na waislamu namna hii??
Amesema atashinda kwa 97%Askofu Rashid atapigiwa kura na wakorintho wa kawa kama wapo ila wanakawe tupo na halima
Kura za maoni zinaonyesha atashinda kwa 97%Mkuu ,acha kuwadharau ndugu zangu Waislam kuwa wame shindwa kuchimba Vijisima vya Maji.Huyu Shekhe wa kuchonga Gwajiboy hafai na hasafishiki tafuta dodoki jingine.
Hana uhakika kama watachagua?Ndio wengi jimboni kwake!