Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nimewasaidia waislamu nikiwa siyo mwanasiasa nimewajengea visima msikiti wa Salasala na Makuti

Rashidi ni mjanja mjanja sana,ana kipaji cha kuongea na huo ni mtaji tosha kabisa kwenye siasa sehemu yeyote ile.
 
Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.

Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.

Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.

Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.

Maendeleo hayana vyama!
Amewatukana waislamu kwa kuita dini yao ya mpinga Kristo hafai.
 
Anasema ana jina la kiislam anaitwa Rashid au Cheed miuno feni.. kwa akili yake anafikiri kila jina lenye asili ya kiarabu ni la kiislamu
 
Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.

Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.

Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.

Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.

Maendeleo hayana vyama!
Rashiboy

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Anahisi waislamu ni wajingawajinga kama misukule yake amayoisalisha ibada kwenye banda la nguruwe.
Hata kardinali Pengo amemuwekea Josephat Gwajima mikono kichwani ili akawe mbunge wa Kawe!
 
Back
Top Bottom