mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kama alituaminisha analeta treni ndani ya wiki mbili akasahauAmesema atashinda kwa 97%
Akatuaminisha anakuwa atajenga kanisa kubwa akashindwa sasa unazani anaukweli wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alituaminisha analeta treni ndani ya wiki mbili akasahauAmesema atashinda kwa 97%
Wanaweza kuhofia ugalatia!Hana uhakika kama watachagua?
Kwani alikuwa anahusiana nao namna gani kabla ya kutangaza niaWanaweza kuhofia ugalatia!
Kawe siyo Salasala peke yake bwashee!Kwani alikuwa anahusiana nao namna gani kabla ya kutangaza nia
Aliyesema hivyo ni nani?Kawe siyo Salasala peke yake bwashee!
Bwashee!Aliyesema hivyo ni nani?
Amewatukana waislamu kwa kuita dini yao ya mpinga Kristo hafai.Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.
Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.
Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.
Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.
Maendeleo hayana vyama!
Hilo ni tusi?Amewatukana waislamu kwa kuita dini yao ya mpinga Kristo hafai.
Huyu ni tapeli kama matapeli wengineBaba Askofu Dkt. Sheikh Rashid Halima Josephat Gwajima anatiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisha. Sikuwahi kufikiria hata Baba Askofu njaa inaweza kumpanda hadi kichwani 🙄
Anahisi waislamu ni wajingawajinga kama misukule yake amayoisalisha ibada kwenye banda la nguruwe.Huyu jamaa mbona kakomaa na waislamu namna hii??
Kigogo muongomuongo sana huyu njemba.atakae muamini huyu pimbi atakuwa na yeye dishi limeyumba.
Mbona dishi lako wewe limeyumba longi.Kigogo muongomuongo sana huyu njemba.atakae muamini huyu pimbi atakuwa na yeye dishi limeyumba.
Wanaomuamini Kigogo wote dishi limeyumba.mimi simuamini Kigogo.Mbona dishi lako wewe limeyumba longi.
RashiboyAskofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.
Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.
Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.
Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.
Maendeleo hayana vyama!
Hata kardinali Pengo amemuwekea Josephat Gwajima mikono kichwani ili akawe mbunge wa Kawe!Anahisi waislamu ni wajingawajinga kama misukule yake amayoisalisha ibada kwenye banda la nguruwe.
Mbunge huchaguliwa na wananchi vinginevyo Rashboy angejiombea awe mbungeHata kardinali Pengo amemuwekea Josephat Gwajima mikono kichwani ili akawe mbunge wa Kawe!