Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nimewasaidia waislamu nikiwa siyo mwanasiasa nimewajengea visima msikiti wa Salasala na Makuti

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nimewasaidia waislamu nikiwa siyo mwanasiasa nimewajengea visima msikiti wa Salasala na Makuti

Baba Askofu Dkt. Sheikh Rashid Halima Josephat Gwajima anatiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisha. Sikuwahi kufikiria hata Baba Askofu njaa inaweza kumpanda hadi kichwani 🙄
Nimependa ulivoyapatia Majina yake
 
Mudhihir Mudhihir, yule mbunge mstaafu wa Mchinga ambaye pia ni mshairi maarufu, aliwahi kusema kuwa kondoo wa manyoya muda wake wa kunyolewa ukifika huzizima. Hapo kondoo wa manyoya anazizima. Anajua alivyowatukana waislamu alipokuwa hajagundua kama angegombea ubunge. Leo anawafanyia utoto wa 'sugar coating', dharau.
 
Kama alituaminisha analeta treni ndani ya wiki mbili akasahau
Akatuaminisha anakuwa atajenga kanisa kubwa akashindwa sasa unazani anaukweli wowote?
na akaaminisha watu kuwa hakuwa kwenye ile video ya ngumi za wawili. ila wanawake wanamoyo sana yani yule mama wa watu ka moyo wake umekunnjuka baada ya kuiona ile video. jamaa ana maneno yakushawishiiiiiiiii
 
na akaaminisha watu kuwa hakuwa kwenye ile video ya ngumi za wawili. ila wanawake wanamoyo sana yani yule mama wa watu ka moyo wake umekunnjuka baada ya kuiona ile video. jamaa ana maneno yakushawishiiiiiiiii
Wanawake wakisukuma hawana wivu,hata yule wa bwana yule ni mweusi tii ila kila siku mume wake anasema anapenda wanawake weupe
 
unajua kigogo anakula ifo kutoka kwa watu ambao wanatuma taarifa ka vile mange alivyokuwa anapewa zile zake za hide my id
wanaompa taarifa wanamdemesha,anaonekana muongo wakati mwingieni kwa kupost vitu fyongo.
 
Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.

Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.

Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.

Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.

Maendeleo hayana vyama!
Ili ugeuze misikiti yao kuwa sunday schools!
 
Kura za maoni zinaonyesha atashinda kwa 97%
Sisi waislamu hatuwezi kuwa makhanisi wa kugeuza misikiti yetu kuwa sunday schools.
Labda kwa vile mmeanza figisu za kuwakata mawakala, short of that Rashid Gwajiboy akabinue wanakondoo mazuzuz wake
 
Mume wa bulaya hana chake kawe [emoji16][emoji23]
 
Back
Top Bottom