johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Hata kardinali ni mwananchi pia!Mbunge huchaguliwa na wananchi vinginevyo Rashboy angejiombea awe mbunge
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kardinali ni mwananchi pia!Mbunge huchaguliwa na wananchi vinginevyo Rashboy angejiombea awe mbunge
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
wagalalatia nadhani wanaweza kuwa wameshamkataaHuyu jamaa mbona kakomaa na waislamu namna hii??
Nimependa ulivoyapatia Majina yakeBaba Askofu Dkt. Sheikh Rashid Halima Josephat Gwajima anatiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisha. Sikuwahi kufikiria hata Baba Askofu njaa inaweza kumpanda hadi kichwani 🙄
Mudhihir Mudhihir, yule mbunge mstaafu wa Mchinga ambaye pia ni mshairi maarufu, aliwahi kusema kuwa kondoo wa manyoya muda wake wa kunyolewa ukifika huzizima. Hapo kondoo wa manyoya anazizima. Anajua alivyowatukana waislamu alipokuwa hajagundua kama angegombea ubunge. Leo anawafanyia utoto wa 'sugar coating', dharau.
na akaaminisha watu kuwa hakuwa kwenye ile video ya ngumi za wawili. ila wanawake wanamoyo sana yani yule mama wa watu ka moyo wake umekunnjuka baada ya kuiona ile video. jamaa ana maneno yakushawishiiiiiiiiiKama alituaminisha analeta treni ndani ya wiki mbili akasahau
Akatuaminisha anakuwa atajenga kanisa kubwa akashindwa sasa unazani anaukweli wowote?
unajua kigogo anakula ifo kutoka kwa watu ambao wanatuma taarifa ka vile mange alivyokuwa anapewa zile zake za hide my idWanaomuamini Kigogo wote dishi limeyumba.mimi simuamini Kigogo.
Wanawake wakisukuma hawana wivu,hata yule wa bwana yule ni mweusi tii ila kila siku mume wake anasema anapenda wanawake weupena akaaminisha watu kuwa hakuwa kwenye ile video ya ngumi za wawili. ila wanawake wanamoyo sana yani yule mama wa watu ka moyo wake umekunnjuka baada ya kuiona ile video. jamaa ana maneno yakushawishiiiiiiiii
wanaompa taarifa wanamdemesha,anaonekana muongo wakati mwingieni kwa kupost vitu fyongo.unajua kigogo anakula ifo kutoka kwa watu ambao wanatuma taarifa ka vile mange alivyokuwa anapewa zile zake za hide my id
Waislam tutakuwa vichaa kumchagua gwajima ili akageuze misikiti kuwa Sunday schoolsGwajima ndiye mbunge wa kawe
Yule mama bingwa wa matusi akatukane famila yake
Kigogo ndio master wa habari kwa sasaWanaomuamini Kigogo wote dishi limeyumba.mimi simuamini Kigogo.
Ili ugeuze misikiti yao kuwa sunday schools!Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti.
Pia amewachimbia visima wananchi zaidi ya 200 na kununua magari ya wagonjwa zaidi ya 17 aliyoyagawa sehemu mbalimbali Kinondoni.
Askofu Gwajima amesema Mungu siyo mwanademokrasia ndio sababu yeye ameamua kufanya siasa ili kupata mchanganyiko sahihi wa kumhudumia mwanadamu kiroho na kimwili.
Askofu Gwajima yuko mubashara Channel ten akihojiwa na Albert Kilala na Vida.
Maendeleo hayana vyama!
Waislam tutakuwa vichaa kumchagua gwajima ili akageuze misikiti kuwa Sunday schools
Hiyo singo imeshabuma bwashee.Ili ugeuze misikiti yao kuwa sunday schools!
Unamjua Rashid?Waislam tutakuwa vichaa kumchagua gwajima ili akageuze misikiti kuwa Sunday schools
Namjua bashite tuUnamjua Rashid?
Sisi waislamu hatuwezi kuwa makhanisi wa kugeuza misikiti yetu kuwa sunday schools.Kura za maoni zinaonyesha atashinda kwa 97%
Waislamu tunajijua sisi, siyo nyinyi wakristoHiyo singo imeshabuma bwashee.
Rashid Gwajima hana matatizo na Waislamu!