#COVID19 Askofu Gwajima: Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, kuchanjwa wengine tumekataa

Gwajima ni game changer...!!! Ndo mtu pekee aliyebaki kuwa na mawazo mbadala despite overwhelming criticism
 
Huku chanjo, kule CDC inatoa maelekezo mapya kua hata kama umechanjwa vaa barakoa iwe nje ama ndani, social distance kama kawaida na sanitize.

Serikali inategemea kuchanja watu 12M, tutanye hii chanjo ni effective na salama 100%, lakini bado wanasema wataalam kua bado hata kama umechanjwa unaweza kuambukizwa ila hutapata matatizo makubwa kama ambae hajaambukizwa, sasa kuchanja 12M people unaacha 48M hawajachanjwa, maana yake hawa 48M wanaweza kuwaambukiza hawa 12M waliochanjwa na bado nchi nzima ikawa na covid.

Hii covid na chanjo issue bado ni sarakasi zisizo na maana.
Uviko inaelekea kua ni dini sasa inabidi uamini na imani yako itakuponya. 😂😂
 
Ibada inaendelea.

Askofu Gwajima amesema kamati ya Corona ilipendekeza wananchi washawishiwe na serikali kuvhagua kuchanjwa ama LA na yeye Gwajima amechagua LA niko sahihi.

Rais Samia amechagua kuchanja naye yuko sahihi.

Msinigombanishe na mwenyekiti wangu wa chama.
Atakuwa amesahau,kliniki ya utotoni kuna kadi au fomu na inarekodi,chanjo,na maendeleo ya mtoto hata uzito na hatua za ukuaji,au nasema uongo ndugu zangu?
 
Huku chanjo, kule CDC inatoa maelekezo mapya kua hata kama umechanjwa vaa barakoa iwe nje ama ndani, social distance kama kawaida na sanitize.

Serikali inategemea kuchanja watu 12M, tutanye hii chanjo ni effective na salama 100%, lakini bado wanasema wataalam kua bado hata kama umechanjwa unaweza kuambukizwa ila hutapata matatizo makubwa kama ambae hajaambukizwa, sasa kuchanja 12M people unaacha 48M hawajachanjwa, maana yake hawa 48M wanaweza kuwaambukiza hawa 12M waliochanjwa na bado nchi nzima ikawa na covid.

Hii covid na chanjo issue bado ni sarakasi zisizo na maana.
Tena sarakasi inachezwa juu ya transform ya umeme wa wenye mabodygard
 
Atakuwa amesahau,kliniki ya utotoni kuna kadi au fomu na inarekodi,chanjo,na maendeleo ya mtoto hata uzito na hatua za ukuaji,au nasema uongo ndugu zangu?
Kadi ya clinic inajazwa na nesi bwashee!
 
Ibada inaendelea.

Askofu Gwajima amesema kamati ya Corona ilipendekeza wananchi washawishiwe na serikali kuvhagua kuchanjwa ama LA na yeye Gwajima amechagua LA niko sahihi.

Rais Samia amechagua kuchanja naye yuko sahihi.

Msinigombanishe na mwenyekiti wangu wa chama.

Anaongea kama askofu au mbunge au kada wa ccm.
Tanzania kuna vituko sana ikulu vikao vya chama vinafanyika kanisani siasa zinafanyika.

Gwajima ananipa wasi wasi sana na huduma yake.

Kulipo niende kanisani kwake bora niende kwa mwamposa mara mia
 
Mbona hashtuki operation unayopewa General anaesthesia nayo unajaza consent form?
 
Hata Maralia ilipokuwa inatakiwa kuangamizwa walipinga hivi hivi
 
Gwajima ni game changer...!!! Ndo mtu pekee aliyebaki kuwa na mawazo mbadala despite overwhelming criticism

Sio mawazo mbadala, sema mitazamo ya yule dhalimu.
 
Back
Top Bottom