#COVID19 Askofu Gwajima: Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, kuchanjwa wengine tumekataa

Sasa kama haizuii corona unachanja ili iweje?

Nimechaja homa ya ini, I am done with that once and forever, siwezi kuambukizwa homa ya ini wala kuathirika na homa ya inni hadi nakufa.

Sasa hii ya kuambiwa utajikwa lakini hata ukianguka hutaumia ni usanii mtupu. Unajua nitaangukia nini?

Huko ulaya cases za walio chanjwa kuugua n kufariki kwa covid zinaongezeka kila siku.

Hapo wanasema December kutakua na wave 4, inaweza kua dangerous kuliko hii Delta, je hizi chanjo zitaweza? Tusubiri tuone.
Umemalizia vzr tusubiri tuone. But hao waliotuletea chanjo ya Homa ya Ini ndio waliotuletea chanjo ya Corona. Sioni kwanini watudanganye wakati kwenye Homa ya Ini walitwambia ukweli.
 
Alisema wapi na lini?
🐒👇
 
Ibada inaendelea.

Askofu Gwajima amesema kamati ya Corona ilipendekeza wananchi washawishiwe na serikali kuvhagua kuchanjwa ama LA na yeye Gwajima amechagua LA niko sahihi.

Rais Samia amechagua kuchanja naye yuko sahihi.

Msinigombanishe na mwenyekiti wangu wa chama.
========

Josephat Gwajima: Viongozi wanaoangalia kuweni makini, kuna wachonganishi hapa. Mimi naweka msimamo nchi iwe salama, watanzania wawe na afya, chama changu kipite salama.

Kanisa ambalo halina ufumbuzi dhidi ya Korona, litoeni msaada liwe hospitali, sasa la nini?

Mimi nawaza, wakakupima joto likawa juu, wanakwambia uingie usiingie? Sasa wale walioingia wanaombewa? Ni kashfa kwenye ufamlme wa Yesu kubwa sana.

Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, mimi wa kwanza kuweka mguu uwanja wa mapambano na nitakuwa wa mwisho kuondoa. I will not quit from the battle front, Never.

Hii nchi sasa hivi, Rais wake ni mama Samia Suluhu Hassan, Mungu ndio kamchagua. Biblia inasema hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, lazima tumsupport.

Ni Rais anaetawala wakati mgumu sana kuliko wowote, kwanza kuna Rais mwingine alikuwa anaelekea hivi, bwana John alikuwa ana tabia zake. Wale ambao hamjajua, John alikuwa akikupigia simu, utafikiri kuzimu imefunguliwa leo. Kuna watu wengine wanasema tu Magufuli Magufuli, Magufuli alikuwa akikupigia simu unasema Mungu wangu, utafikiri kiama imeanza, akiongea anaongea kwa Mamlaka, akikupigia simu anajua vyote.

Huyo ameshaondoka, tuangalie nchi yetu na hatima yetu kwasasa. Tumwambie maam Samia tunakubeba twende na wewe, tupeleke ila tumesema, kuchanjwa wengine tumekataa, wengine wamekubali lakini mama twende.
Sasa hapo ndo pazuri.

Abaki apo hapo..

Lakini atashangaa!!!

Na ndipo waamini wake wote wataunga mstari kuchanja..

Kama liishivyo kina lake Takatifu...

Nakumbuka issue ya Umeme kutopita kwenye nyaya za Umeme wakati fulani....

Guys

God is the first Scientist....he doesn't support nonsense....
 
Kwa hiyo ana wafuasi wengi sana tofauti na mlivyokuwa mnatuamisha?
Nani hakuwa na wafuasi? Hata Iddy Amini alikuwa nao. Kama dhalimu alikuwa na wafuasi wengi hivyo, mbona alinajisi uchaguzi?
 
Sasa mbona unajichanganya?

Unasema ana wafuasi, mara tena kama alikuwa na wafuasi wengi mbona alinajisi uchaguzi!

Wewe unashika lipi? Alikuwa na wafuasi au hakuwa nao kama mnavyosema alikuwa anachukiwa?
 
Alisaidiwa kushinda kwa goli la mkono
 
Ibada inaendelea.

Askofu Gwajima amesema kamati ya Corona ilipendekeza wananchi washawishiwe na serikali kuvhagua kuchanjwa ama LA na yeye Gwajima amechagua LA niko sahihi.

Rais Samia amechagua kuchanja naye yuko sahihi.

Msinigombanishe na mwenyekiti wangu wa chama.
========

Josephat Gwajima: Viongozi wanaoangalia kuweni makini, kuna wachonganishi hapa. Mimi naweka msimamo nchi iwe salama, watanzania wawe na afya, chama changu kipite salama.

Kanisa ambalo halina ufumbuzi dhidi ya Korona, litoeni msaada liwe hospitali, sasa la nini?

Mimi nawaza, wakakupima joto likawa juu, wanakwambia uingie usiingie? Sasa wale walioingia wanaombewa? Ni kashfa kwenye ufamlme wa Yesu kubwa sana.

Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, mimi wa kwanza kuweka mguu uwanja wa mapambano na nitakuwa wa mwisho kuondoa. I will not quit from the battle front, Never.

Hii nchi sasa hivi, Rais wake ni mama Samia Suluhu Hassan, Mungu ndio kamchagua. Biblia inasema hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, lazima tumsupport.

Ni Rais anaetawala wakati mgumu sana kuliko wowote, kwanza kuna Rais mwingine alikuwa anaelekea hivi, bwana John alikuwa ana tabia zake. Wale ambao hamjajua, John alikuwa akikupigia simu, utafikiri kuzimu imefunguliwa leo. Kuna watu wengine wanasema tu Magufuli Magufuli, Magufuli alikuwa akikupigia simu unasema Mungu wangu, utafikiri kiama imeanza, akiongea anaongea kwa Mamlaka, akikupigia simu anajua vyote.

Huyo ameshaondoka, tuangalie nchi yetu na hatima yetu kwasasa. Tumwambie maam Samia tunakubeba twende na wewe, tupeleke ila tumesema, kuchanjwa wengine tumekataa, wengine wamekubali lakini mama twende.

Hongera kwake Gwajima

Amejua kumpa Mungu nafasi yake anayoihubiri kila siku na ameilinda imani

Kazi kwatu
 
Anadai chanjo tumepewa bure, ni mwongo sana huyu jamaa.
Amedai kuna wanaolazimisha watu kuchoma chanjo- akiambiwa amtaje hata mmoja hawezi, huu ndo uzushi sasa. Bado anashawishi waumini wake wasichanje akidai ni familia yake.
Anhangaika sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ukweli kuhusu ujio wa chanjo za UVIKO 19 huku kitaa. Bado watu wengi wanatembea na msimamo wa mwendazake.
Screenshot_20210801-204656.jpg
 
Back
Top Bottom