#COVID19 Askofu Gwajima: Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, kuchanjwa wengine tumekataa

Gwajima ni game changer...!!! Ndo mtu pekee aliyebaki kuwa na mawazo mbadala despite overwhelming criticism
 
Uviko inaelekea kua ni dini sasa inabidi uamini na imani yako itakuponya. 😂😂
 
Atakuwa amesahau,kliniki ya utotoni kuna kadi au fomu na inarekodi,chanjo,na maendeleo ya mtoto hata uzito na hatua za ukuaji,au nasema uongo ndugu zangu?
 
Tena sarakasi inachezwa juu ya transform ya umeme wa wenye mabodygard
 
Atakuwa amesahau,kliniki ya utotoni kuna kadi au fomu na inarekodi,chanjo,na maendeleo ya mtoto hata uzito na hatua za ukuaji,au nasema uongo ndugu zangu?
Kadi ya clinic inajazwa na nesi bwashee!
 
Anaongea kama askofu au mbunge au kada wa ccm.
Tanzania kuna vituko sana ikulu vikao vya chama vinafanyika kanisani siasa zinafanyika.

Gwajima ananipa wasi wasi sana na huduma yake.

Kulipo niende kanisani kwake bora niende kwa mwamposa mara mia
 
Mbona hashtuki operation unayopewa General anaesthesia nayo unajaza consent form?
 
Hata Maralia ilipokuwa inatakiwa kuangamizwa walipinga hivi hivi
 
Gwajima ni game changer...!!! Ndo mtu pekee aliyebaki kuwa na mawazo mbadala despite overwhelming criticism

Sio mawazo mbadala, sema mitazamo ya yule dhalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…