#COVID19 Askofu Gwajima: Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, kuchanjwa wengine tumekataa

Sasa mbona unajichanganya?

Unasema ana wafuasi, mara tena kama alikuwa na wafuasi wengi mbona alinajisi uchaguzi!

Wewe unashika lipi? Alikuwa na wafuasi au hakuwa nao kama mnavyosema alikuwa anachukiwa?
Wengi wanaanzia wawili boss.
 
Huyu siyo PhD bali ni PoD (Prophet of Doom)!
 
Huyu MsuKuma ni msanii kama kina masanja na joti etc.

Sijui kwa nini watanzania mnakuwa wapumbavu kiasi hiki.
Wazazi wenu wangepinga i chanjo ya polio mashuleni huendi wengie wetu tungeshakufa kwa polio na kupooza kabisa
 
Sukuma GANG, he can go to hell and freeze, who gives an EF about him???..
Achanjwe asichanjwe he is a NOBODY.
Mwanaume anatafuta kimabavu umaarufu.

Anajilazimisha kuwa Bashite..ovyoooo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
 
Gwajima kaweka wazi msimamo wake ukigeugeu unakujaje hapa
Alisema corona haiwez ingia Tanzania, Leo ipi huoni kama tayari kwa Mtumishi kama yeye lazima tuta-question Kama kweli anaongozwa na roho wa Mungu au ni utashi wake
 
Alisema corona haiwez ingia Tanzania, Leo ipi huoni kama tayari kwa Mtumishi kama yeye lazima tuta-question Kama kweli anaongozwa na roho wa Mungu au ni utashi wake
Mkuu huyo MUNGU tu aliahidi hataangamiza tena kwa maji(gharika) wala kwa moto.
Lakini imani imemshinda, matsunami kila leo,mioto ndio usiseme.
MPAKA sasa corona bado ni FUMBO la imani
 
Gwajima ni tapeli wa siku nyingi sana; ama yeye mwenyewe amekwisha chanjwa, au amechoka kuishi anatafauta sababu kuzamia kusikojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…