Rais aombe msamaha kwa haya yanayotokea,acha unafiki..Mimi nakupenda sana tangia kipindi cha covid 19. Misimamo yako naipenda sana ikiwa unasema ukweli. Siku unahubiri kanisani kuhusu utekaji nilikuwa nakufuatilisa vizuri. Tangia unaingika kanisani nilikufuatilitia vizuri.
Lakini mh Askofu niliingiwa na hofu kuu sana nikajiuliza hiki nini kimetokea. Kuhubiri juu ya utekaji siyo mbaya, lakini namna ulivyoanza mahubiri yako siyo heshima kwa Mungu na kwa taratibu za kanisa lenye kuwalisha kondoo neno la uzima. Unaanza kuhubiri kabla ya kusoma neno la MUNGU? Pale kanisani tunaenda kusikiliza neno la Mungu kwanza. Leo Mungu wetu ametuandalia nini watoto wake, kama chakula cha uzima?
Neno la Mungu ndiyo chakula cha uzima, mengine pale ulikuwa unapiga blablaa tu. Yale maneno yako ya siku ile hayawezi kuwapa watu uzima na kuwapeleka watu mbinguni. Kama ni kuhubiri kuhusu utekaji, ulitakiwa utafute kifungu kwenye Biblia KINACHOENDANA NA MAHALIFU KATIKA jamii, ukifananue vizuri, ndiposa uchomekee maneno kuhusu utekaji unaotokea nchini.
Kosa lingine ni kumtaji mkuu wa nchi japo indirectly kwamba anahusika na utekaji. Kwa kweli ulipotamka kwamba anayekupinga tujiulize anahusikaje kwenye utekaji, moyo uliniuma sana kwa sababu niliona sasa umekwea kwengine ambako kutoka huko itakuwa shida. Mh Rais kwenye chama alikujibu kiimani, wewe ukatafsiri amekupinga.
Lakini hata kama angekuwa amekupinga, wewe kama askofu uchungaye kondoo hukutakiwa kuwaonyesha waumini wako tena kanisani kwamba sasa inajulikana anayeagiza watu watekwe ni huyu, maana bado huna ushahidi. Na hata kama una ushahidi bado huna uwezo wa kupambana na taasisi ya uraisi. Na kwa nini wewe kama mchungaji wa kondoo uwe chanzo cha machafuko? Hatufanyagi hivyo mzee.
Unakumbuka lile neno YESU KRISTO alilowambia wanafunzi wake wakati anawatuma ulimwenguni? Au wewe siyo mwanafunzi wa YESU kwa sababu ni askofu?
Mt 10:16
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
sasa wewe unakuwa mkali badala ya kuwa mpole .unategemea nini ?
unakumbuka kisa cha cha jogoo wa wili jasiri na mwoga?
nakushauri uombe msamaha kwa mkuu wa nchi na pia kwa MUNGU na kwa waumini.umesababisha kondoo kutawanyika sasa hawana mchungaji? umesababisha uitwe mtumishi wa shetani na siyo wa Mungu.Hii ni kosa lako kubwa.Nakuomba ukatubu
jifunze kwa YESU .yeye ni mpole na mnyenyekevu
Mt 11:29
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu
wakati mwingini upole ni mhimu sana.ache wengine waongee wewe baki katika kuwaombea waongeaji wapate hekima na busara katika kuongea.
Swala la utekaji alianza kulizungumzia kanisani au aliitisha press. Shida ukishakua Chawa akili unafungia kwenye chupachadema mna roho kama ya paka na hamas.mimi namshauri askofu aombe msamaha unaanza na siasa zako.yeye kama mbunge alitakiwa aitishe press conference aongee na wanahabari na siyo kanisani.hakuna anayependa utekaji wala mauaji.kanisani ni sehemu takatifu siyo sehemu ya mipasho
Mnapenda kuombwa misamaha nyie wapumbavu,yaani huyu bibi mpumbavu mwenzenu anapenda sana kuombwa msamaha,kuanzia kwa Ndugai walijitokeza wapumbavu kama wewe wakamshauti aombe msamaha,huyo Idd Amini Mama sio wa kuombwa msamaha hata kidogochadema mna roho kama ya paka na hamas.mimi namshauri askofu aombe msamaha unaanza na siasa zako.yeye kama mbunge alitakiwa aitishe press conference aongee na wanahabari na siyo kanisani.hakuna anayependa utekaji wala mauaji.kanisani ni sehemu takatifu siyo sehemu ya mipasho
Sasa tutajilinda vipi wakati Iddd Amini Mama anatumia jeshi,kwa hiyo kwa akili yako unaweza kujilinda Idd Amini Mama akikutakawewe una uhakika anayeteka ni nani? na hata ukijua inakusaidia nini? jilinde usitekwe.
chadema mna roho kama ya paka na hamas.mimi namshauri askofu aombe msamaha unaanza na siasa zako.yeye kama mbunge alitakiwa aitishe press conference aongee na wanahabari na siyo kanisani.hakuna anayependa utekaji wala mauaji.kanisani ni sehemu takatifu siyo sehemu ya mipasho
Amewahi kukemea utekaji?Kumzushia Kiongozi tena Mkuu wa Nchi kuwa Eti anateka watu
Nyani waliochangamka 🤣Watu weusi ni kama kuna ka laana fulani tunacho naturally!!!!??? Na wazungu walikuwa wajanja sana wakaona hizi ng’ombe tukiendelea kuzitawala tutatumia resource nyingi sana kuzinufaisha wacha tuache zijitawale tukazitegee mbele huko. Na kweli hatimae yametokea.
Watu weusi bado hawajamaliza process ya evolution
Kama alivyoitisha press kuzungumzia utekaji ,basi sasa kama alitaka mkumjibu mwenyeketi alitakiwa aitishe tena press amjibu tena.sasa unakimbia kanisani hukubiri sisa ili iweje? unaona sasa kalitabisha kanisa lake.makanisa tujifunjze kuwaambia wachungaji wetu ukweli.Swala la utekaji alianza kulizungumzia kanisani au aliitisha press. Shida ukishakua Chawa akili unafungia kwenye chupa
Wakatoliki kila jumapili kwenye ibada zao wanazungumzia utekaji, na wanahoji kwa nini watu hawajakamatwa mpaka sasa, wafungieni basi na wao makanisa yaoKama alivyoitisha press kuzungumzia utekaji ,basi sasa kama alitaka mkumjibu mwenyeketi alitakiwa aitishe tena press amjibu tena.sasa unakimbia kanisani hukubiri sisa ili iweje? unaona sasa kalitabisha kanisa lake.makanisa tujifunjze kuwaambia wachungaji wetu ukweli.
Mahakama imekuta hana kosa la kuomba msamahaMimi nakupenda sana tangia kipindi cha covid 19. Misimamo yako naipenda sana ikiwa unasema ukweli. Siku unahubiri kanisani kuhusu utekaji nilikuwa nakufuatilisa vizuri. Tangia unaingika kanisani nilikufuatilitia vizuri.
Lakini mh Askofu niliingiwa na hofu kuu sana nikajiuliza hiki nini kimetokea. Kuhubiri juu ya utekaji siyo mbaya, lakini namna ulivyoanza mahubiri yako siyo heshima kwa Mungu na kwa taratibu za kanisa lenye kuwalisha kondoo neno la uzima. Unaanza kuhubiri kabla ya kusoma neno la MUNGU? Pale kanisani tunaenda kusikiliza neno la Mungu kwanza. Leo Mungu wetu ametuandalia nini watoto wake, kama chakula cha uzima?
Neno la Mungu ndiyo chakula cha uzima, mengine pale ulikuwa unapiga blablaa tu. Yale maneno yako ya siku ile hayawezi kuwapa watu uzima na kuwapeleka watu mbinguni. Kama ni kuhubiri kuhusu utekaji, ulitakiwa utafute kifungu kwenye Biblia KINACHOENDANA NA MAHALIFU KATIKA jamii, ukifananue vizuri, ndiposa uchomekee maneno kuhusu utekaji unaotokea nchini.
Kosa lingine ni kumtaji mkuu wa nchi japo indirectly kwamba anahusika na utekaji. Kwa kweli ulipotamka kwamba anayekupinga tujiulize anahusikaje kwenye utekaji, moyo uliniuma sana kwa sababu niliona sasa umekwea kwengine ambako kutoka huko itakuwa shida. Mh Rais kwenye chama alikujibu kiimani, wewe ukatafsiri amekupinga.
Lakini hata kama angekuwa amekupinga, wewe kama askofu uchungaye kondoo hukutakiwa kuwaonyesha waumini wako tena kanisani kwamba sasa inajulikana anayeagiza watu watekwe ni huyu, maana bado huna ushahidi. Na hata kama una ushahidi bado huna uwezo wa kupambana na taasisi ya uraisi. Na kwa nini wewe kama mchungaji wa kondoo uwe chanzo cha machafuko? Hatufanyagi hivyo mzee.
Unakumbuka lile neno YESU KRISTO alilowambia wanafunzi wake wakati anawatuma ulimwenguni? Au wewe siyo mwanafunzi wa YESU kwa sababu ni askofu?
Mt 10:16
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
sasa wewe unakuwa mkali badala ya kuwa mpole .unategemea nini ?
unakumbuka kisa cha cha jogoo wa wili jasiri na mwoga?
nakushauri uombe msamaha kwa mkuu wa nchi na pia kwa MUNGU na kwa waumini.umesababisha kondoo kutawanyika sasa hawana mchungaji? umesababisha uitwe mtumishi wa shetani na siyo wa Mungu.Hii ni kosa lako kubwa.Nakuomba ukatubu
jifunze kwa YESU .yeye ni mpole na mnyenyekevu
Mt 11:29
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu
wakati mwingini upole ni mhimu sana.ache wengine waongee wewe baki katika kuwaombea waongeaji wapate hekima na busara katika kuongea.
Acha kukufuru hii Nchi ipo katika hali mbaya ya mauaji na utekaji si jambo la kuchezea.wewe una uhakika anayeteka ni nani? na hata ukijua inakusaidia nini? jilinde usitekwe.
Mimi nakupenda sana tangia kipindi cha covid 19. Misimamo yako naipenda sana ikiwa unasema ukweli. Siku unahubiri kanisani kuhusu utekaji nilikuwa nakufuatilisa vizuri. Tangia unaingika kanisani nilikufuatilitia vizuri.
Lakini mh Askofu niliingiwa na hofu kuu sana nikajiuliza hiki nini kimetokea. Kuhubiri juu ya utekaji siyo mbaya, lakini namna ulivyoanza mahubiri yako siyo heshima kwa Mungu na kwa taratibu za kanisa lenye kuwalisha kondoo neno la uzima. Unaanza kuhubiri kabla ya kusoma neno la MUNGU? Pale kanisani tunaenda kusikiliza neno la Mungu kwanza. Leo Mungu wetu ametuandalia nini watoto wake, kama chakula cha uzima?
Neno la Mungu ndiyo chakula cha uzima, mengine pale ulikuwa unapiga blablaa tu. Yale maneno yako ya siku ile hayawezi kuwapa watu uzima na kuwapeleka watu mbinguni. Kama ni kuhubiri kuhusu utekaji, ulitakiwa utafute kifungu kwenye Biblia KINACHOENDANA NA MAHALIFU KATIKA jamii, ukifananue vizuri, ndiposa uchomekee maneno kuhusu utekaji unaotokea nchini.
Kosa lingine ni kumtaji mkuu wa nchi japo indirectly kwamba anahusika na utekaji. Kwa kweli ulipotamka kwamba anayekupinga tujiulize anahusikaje kwenye utekaji, moyo uliniuma sana kwa sababu niliona sasa umekwea kwengine ambako kutoka huko itakuwa shida. Mh Rais kwenye chama alikujibu kiimani, wewe ukatafsiri amekupinga.
Lakini hata kama angekuwa amekupinga, wewe kama askofu uchungaye kondoo hukutakiwa kuwaonyesha waumini wako tena kanisani kwamba sasa inajulikana anayeagiza watu watekwe ni huyu, maana bado huna ushahidi. Na hata kama una ushahidi bado huna uwezo wa kupambana na taasisi ya uraisi. Na kwa nini wewe kama mchungaji wa kondoo uwe chanzo cha machafuko? Hatufanyagi hivyo mzee.
Unakumbuka lile neno YESU KRISTO alilowambia wanafunzi wake wakati anawatuma ulimwenguni? Au wewe siyo mwanafunzi wa YESU kwa sababu ni askofu?
Mt 10:16
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
sasa wewe unakuwa mkali badala ya kuwa mpole .unategemea nini ?
unakumbuka kisa cha cha jogoo wa wili jasiri na mwoga?
nakushauri uombe msamaha kwa mkuu wa nchi na pia kwa MUNGU na kwa waumini.umesababisha kondoo kutawanyika sasa hawana mchungaji? umesababisha uitwe mtumishi wa shetani na siyo wa Mungu.Hii ni kosa lako kubwa.Nakuomba ukatubu
jifunze kwa YESU .yeye ni mpole na mnyenyekevu
Mt 11:29
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu
wakati mwingini upole ni mhimu sana.ache wengine waongee wewe baki katika kuwaombea waongeaji wapate hekima na busara katika kuongea.
Mmeshakamata watekaji wangapi mpaka sasa?Nakuelewa, alitanguliza hisia nyingi, badala ya kutumia ufahamu na hekima. Huwezi kuongea eti unayoyaita mahubiri bila hata kufungua kifungu kimoja cha neno la Mungu Biblia.