Askofu Gwajima omba msamaha, siku ya mahubiri yako kanisani juu ya utekaji ulimkosea Mungu na Rais

Nyie uwa mnacote vifungu vinavyo wafulahisha but Mungu hajwai kupenda dhuruma Mungu ni wa haki pamoja na Mapufu yako yote but Mungu hajachukua pumzi yako sio kwamba wewe ni mwema ila MUNGU ni wa haki ndo maana mpaka sasa kakupa haki kuishi ila anaweza kuichukua. Haki ya kuishi sio ya Kubeza
 
Hapo unaona sasa anayetuma ni nani? shida ni kwamba kukakaa kimya kwa viongozi kunaweza kutafsiriwa kuwa wanasapoti uovu kutendeka .huyu alitkiwa kukemewa na chama chake.tusiishi kwa mazoea
Ndicho hicho wananchi wanalalamikia halafu chawa mnawabeza kwa kuwa hamjafikiwa.
Unaona huyo kwenye clip anawaambia polisi kabisa lakini hafanywi chochote, huku watu wengi wanaendelea kutekwa na kuuliwa
 
🚮
 
Hii ni mifano mahususi ya mistari ya Biblia inayotaja watawala waovu na Mambo yanayotokea Wawapo Madarakani

Mithali 29:2 "Waadilifu wakiwa na mamlaka, watu hufurahi; bali mwovu atawalapo, watu huugua."

Mithali 29:12: “Mtawala akisikiliza uwongo, maofisa wake wote watakuwa waovu.

Mithali 29:18: "Waovu wakitawala taifa, dhambi itakuwa kila mahali, bali watendao haki watashinda mwishowe."

Mithali 16:12: "Ni chukizo kwa wafalme kutenda maovu."
 
Pumba tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…