Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Kuna amiri jeshi mkuu bila jeshi?

Security details ya huyo mama yenu ikiondolewa saa hizi atakuwa anaitwa amiri jeshi mkuu bado?

Ndio maana kasema ikitokea vita wao watakuwa kwenye battlefield wakati yeye yuko mjini huko wamemficha na wanajeshi waliobaki.

Read between the lines.
 
Maswali gani haya Sasa, unajua maana ya amiri jeshi mkuu?
 
Ana akili sana. Mishahara ya wanajeshi, polisi, magereza n.k tunaijua, wengine ndugu zetu, kaka zetu,wake zetu. ipo chini sana.

Mwanajeshi akistaafu kitu kikubwa anaweza kufanya ni kujenga nyumba ya kukaa miaka kadhaa kabla hajafa. ila hawezi kua tajiri au mwenye kipato kama hakuwa na cheo, na wao ndio wanakesha kurukaruka kwa ajili yetu.

Vyombo hivyo vimepata wa kumsemea, badala ya kufikiri anagombana na vyombo, vyombo sasa vinampenda, amevisemea.
 
Back
Top Bottom